Mwenyewe nimeona nikajiuliza ama hahusiani navyo.? Enwei link hiyo hapo chini...!!Nmeona post ya member ushimen,ajira mgodi wa north Mara nafasi 73 au hakuna inayokuhusu Apo?
Njoo pm haraka.Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).
Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!
NB: Nimekua nikijaribu sana kuomba nafasi zinazotangazwa na migodi ya GGM, BARRICK n.k bila mafanikio, hata interview haupati!
Kaka ulishapata job?Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).
Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!
NB: Nimekua nikijaribu sana kuomba nafasi zinazotangazwa na migodi ya GGM, BARRICK n.k bila mafanikio, hata interview haupati!
Ndio pa kuanza kuchimba Madini uwe bilionea Sasa 😃😃Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).