October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua usahili ungekuwa Mwezi uliopita September ndîo mahana nikajaza Dodoma kwani ndîo nilipo. Wiki ijayo natakiwa niende Geita naogopa nisijeenda Geita ndîo wakatoa majina ya usahili.
Nishaurini
Nishaurini