Nimesoma na Elon Musk

Nimesoma na Elon Musk

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani.

Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale South Afrika.

Sema sasa hivi hakamati simu zangu ila sijutii najua anaogopa nitamshitaki maana mimi ndie nilimpa wazo la kuunda magari ya tesla
 
Atashikaje simu yako na unayo mwenyewe?
Unatuchelesha sana kuleta maendeleo
Nikuulize tu msomi.
Hivi wale askari waochoma bangi baada ya kufyeka mashamba ule moshi ni tofauti na kuvuta ?
Nimebahatika kuchoma bangi Ila niwe mkweli ni sawa na kuvuta tu .

Mara ya mwisho baada ya uchomaji tupo kwenye ndinga tunarudi makao si jamaa mmoja aliuekuwepo kwa mujibu wa Sheria ya uchomaji akiwa anawakilisha mahakama asianze kuniuliza hivi kweli nchi hii ni Tanzania Sasa nikawa nashindwa nijibu nini alafu ukicheki ni boss kwangu .

Nikawa nalamba midomo sauti haitoki nisije kujibu vibaya nikamuudhi boss Ila baada ya kukaa pekee yangu nikakumbuka bangi tuliyochoma ilimuathiri yule bwana .
 
Mirembe Hosp. ijenge Campus nyingine Dar, kwa haraka sana ikiwezekana, ugonjwa wa akili unashambulia vijana wengi sana.
 
Nimebahatika kuchoma bangi Ila niwe mkweli ni sawa na kuvuta tu .

Mara ya mwisho baada ya uchomaji tupo kwenye ndinga tunarudi makao si jamaa mmoja aliuekuwepo kwa mujibu wa Sheria ya uchomaji akiwa anawakilisha mahakama asianze kuniuliza hivi kweli nchi hii ni Tanzania Sasa nikawa nashindwa nijibu nini alafu ukicheki ni boss kwangu .

Nikawa nalamba midomo sauti haitoki nisije kujibu vibaya nikamuudhi boss Ila baada ya kukaa pekee yangu nikakumbuka bangi tuliyochoma ilimuathiri yule bwana .
Nimekuelwa afande. Umeeleza uzoefu binafsi 🤣🤣🤣
 
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani.

Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale South Afrika.

Sema sasa hivi hakamati simu zangu ila sijutii najua anaogopa nitamshitaki maana mimi ndie nilimpa wazo la kuunda magari ya tesla
Inakusaidia nini wakati wewe ni mweupe kiuchumi?
 
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani.

Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale South Afrika.

Sema sasa hivi hakamati simu zangu ila sijutii najua anaogopa nitamshitaki maana mimi ndie nilimpa wazo la kuunda magari ya tesla
Wee umekunywa chai na mchuzi
 
Kwahiyo mwanangu umetuchukuliaje sisi??
 
Back
Top Bottom