Nimesoma PCM, je nifanyaje nisome Biology ya A-Level?

Nimesoma PCM, je nifanyaje nisome Biology ya A-Level?

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wanajf nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani fizikia na kemia nilifauli vizuri,japokua kwa sasa nafanya field yangu ya mwisho,mwakani nahitimu bachelar of science in electrical engineering.Jamani naombeni sana msaada wenu wa mawazo ili niweze kufanikisha maono yangu,kuhusu kwa nini sikuweza kusoma PCB sababu kubwa sana ni mfumo wa kubadilisha kombination kuwa ngumu na ndefu sana hasa kutokana na head master mzee KAAYA kutokua mwelewa.
Naomba kuwasilisha.
 
Peleka kwenye jukwaa la elimu kwanza then tutakupa jibu.
Na ukiendelea kubisha humu utaharibikiwa we dogo ohoo!!
 
peleka sehemu husika jibu lake rahisi sana ikifika kule
 
Peleka kwenye jukwaa la elimu kwanza then tutakupa jibu.
Na ukiendelea kubisha humu utaharibikiwa we dogo ohoo!!

Sijazaliwa kubisha ukweli,so nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom