Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wana ef nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani fizikia na kemia nilifauli vizuri,japokua kwa sasa nafanya field yangu ya mwisho,mwakani nahitimu bachelar of science in electrical engineering.Jamani naombeni sana msaada wenu wa mawazo ili niweze kufanikisha maono yangu,kuhusu kwa nini sikuweza kusoma PCB sababu kubwa sana ni mfumo wa kubadilisha kombination kuwa ngumu na ndefu sana hasa kutokana na head master mzee KAAYA kutokua mwelewa.
Naomba kuwasilisha