Nimesoma pcm,nitafanyaje nisome biology ya a-level?

Nimesoma pcm,nitafanyaje nisome biology ya a-level?

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wana ef nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani fizikia na kemia nilifauli vizuri,japokua kwa sasa nafanya field yangu ya mwisho,mwakani nahitimu bachelar of science in electrical engineering.Jamani naombeni sana msaada wenu wa mawazo ili niweze kufanikisha maono yangu,kuhusu kwa nini sikuweza kusoma PCB sababu kubwa sana ni mfumo wa kubadilisha kombination kuwa ngumu na ndefu sana hasa kutokana na head master mzee KAAYA kutokua mwelewa.
Naomba kuwasilisha
 
Kwa nini unataka kusoma medicine?Ukitoa sababu nitajua jinsi ya kukushauri.
 
Kwa nini unataka kusoma medicine?Ukitoa sababu nitajua jinsi ya kukushauri.

Ninapenda sana udaktari toka moyoni,pia ninajisikia vizuri ninapookoa maisha ya binadamu.
 
kajiandikishe kule baraza la mitihani tz ili usajiliwe kufanya mtihani wa biology si unataka uitwe Engineer. Doctor. karibu sana ila usigome watakufanya kama ulimboka.
 
Back
Top Bottom