Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.


🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwiiii🤣🤣🤣🤣eti masafa mafupi🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Epistemology.
Umejikita kwenye chanzo kimoja cha maarifa, ambacho ni Kusoma vitabu. Hongera sana.

Lakini unaweza usisome vitabu na ukawa na maarifa tuu. Kwa wale waliosoma Falsafa wanaelewa nazungumzia nini.

Maarifa yote yanarudi kwenye kitabu au vitabu.

Unaweza kutuambia ni maarifa gani hayo ili nasisi tupate kujifunza.
 
Tatizo mkuu naona vitabu vyote vina kama mwandishi mmoja ili unalizungumziaje kwa sisi ambao tutafikiria una mcoach Huyo DR.?
 
Tatizo mkuu naona vitabu vyote vina kama mwandishi mmoja ili unalizungumziaje kwa sisi ambao tutafikiria una mcoach Huyo DR.?
Soma vizuri hiyo orodha mkuu, kuna vitabu nimeorodhesha ambavyo ni kutoka kwa mwandishi mmoja, kwa wale waandishi wenye vitabu vingi kama Robert Kiyosaki na wengineo.
Lakini waandishi hapo ni zaidi ya 500.
 
"Maono ya pili ni kuwa raisi wa nchi yangu ya Tanzania, nikiamini kwamba nina mchango mkubwa sana ambao taifa hili linanidai na kupitia nafasi ya uraisi nitaweza kutoa mchango huu vizuri"



Ukitaka kuwa Rais hakikisha usijefungamana na Chama Cha watu waliooza,wanaonuka na wenye sifa mbaya Kama CCM.


NAKUONYA TU.
 
Tundu lissu alisema someni kila kitu, Mimi naona tusome kila kitu eg vitabu,magazeti,majarida,periodicals,namuunga mkono lissu tusisome vitabu tu Kwa sababu information is power,
 
Tunaopenda kusoma vitabu vya riwaya za kipelelezi kama mikataba ya kishetani, dimbwi la damu n.k unatushauri Nini..?
Hiyo nayo utakuwa umeongeza kitu kwani pia ni kazi ya sanaa, mfano huwezi sikiliza ama kutazama taarifa ya habari pekee siku zote lazima utaangalia movie usikilize muziki uangalie makala za aina mbalimbali ubongo wa binadamu uko dynamic na maisha hayako static Kinyume chake you can easily be brainwashed
 
Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,
Na mimi lazima nitakuwa bilionea,
Nukuu na utunze haya maneno.
Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
 
Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Negativity is cannibalistic. The more you feed it, the bigger and stronger it grows.
 
Jamii forum ni zaidi ya kitabu.
Kuna majukwaa humu yanashusha nondo za maana.

Biashara na Ujasiriamali
Tech
N.K
 
Mkuu hongera sana kwa kusoma hivyo vitabu vyote kwa muda mfupi. Naona umepitia na vitabu vya jim rohn ulipata baati ya kusoma kitabu chake cha Cultivating an Unshakable Character ?
 
Sipendi soma vitabu. English literature nilifaulu kwa kusimuliwa tu na mambo yakaenda. Anasoma mwingine afu anasimulia unachukua summary
Mkuu kuna audio book hizi nikwaajili ya wanaopenda kusikiliza zaid kuliko kusoma
 
Back
Top Bottom