Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Epistemology.
Umejikita kwenye chanzo kimoja cha maarifa, ambacho ni Kusoma vitabu. Hongera sana.
Lakini unaweza usisome vitabu na ukawa na maarifa tuu. Kwa wale waliosoma Falsafa wanaelewa nazungumzia nini.
Soma vizuri hiyo orodha mkuu, kuna vitabu nimeorodhesha ambavyo ni kutoka kwa mwandishi mmoja, kwa wale waandishi wenye vitabu vingi kama Robert Kiyosaki na wengineo.Tatizo mkuu naona vitabu vyote vina kama mwandishi mmoja ili unalizungumziaje kwa sisi ambao tutafikiria una mcoach Huyo DR.?
Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,Bakhresa huwa anasoma kitabu kimoja tu Cha kurani na Ni bilionea mleta mada umesoma vitabu 500 halafu bado lofa
Warren buffet husoma Page 500 per day na ni bilionea number 3 dunianiBakhresa huwa anasoma kitabu kimoja tu Cha kurani na Ni bilionea mleta mada umesoma vitabu 500 halafu bado lofa
Hiyo nayo utakuwa umeongeza kitu kwani pia ni kazi ya sanaa, mfano huwezi sikiliza ama kutazama taarifa ya habari pekee siku zote lazima utaangalia movie usikilize muziki uangalie makala za aina mbalimbali ubongo wa binadamu uko dynamic na maisha hayako static Kinyume chake you can easily be brainwashedTunaopenda kusoma vitabu vya riwaya za kipelelezi kama mikataba ya kishetani, dimbwi la damu n.k unatushauri Nini..?
Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,
Na mimi lazima nitakuwa bilionea,
Nukuu na utunze haya maneno.
Negativity is cannibalistic. The more you feed it, the bigger and stronger it grows.Motivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Kusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda![emoji58] napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Unemjibu vizuri.Bakhresa hakuwa bilionea ndani ya siku moja,
Na mimi lazima nitakuwa bilionea,
Nukuu na utunze haya maneno.
Mkuu kuna audio book hizi nikwaajili ya wanaopenda kusikiliza zaid kuliko kusomaSipendi soma vitabu. English literature nilifaulu kwa kusimuliwa tu na mambo yakaenda. Anasoma mwingine afu anasimulia unachukua summary
Vitabu viwili kwa week unasoma vitabu vyenye page ngapi mkuu?na kazi nyingine huna ni kusoma tu au inakuwaje hii.