sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Kusoma vitabu kumenibadilisha sana sana...kidg mazingira ya kupata kula yangu yamnifanya niwe nakosa muda![emoji58] napenda kusoma vitabu sana..km kina group la wasoma vitabu add me pls!
Hasty Generalization Fallacy, kushindwa wewe haimaanishi kila mtu atashindwa mkuu.
Kubali wewe umeshindwa, lakini usifanye hiyo kuwa sheria ya dunia nzima.
Kusoma kitabu cha aina yoyote ile ni bora kuliko kutokusoma kabisa.
Unaposoma hata kama ni riwaya, unaipa akili yako kazi ya kutengeneza picha fulani na hilo linakuwa na manufaa kwako.
Lakini asiyesoma kabisa, akili yake imelala, halafu inakuwa dhaifu na mwisho inashindwa kumsaidia.
Mkuu hongera sana kwa kusoma hivyo vitabu vyote kwa muda mfupi. Naona umepitia na vitabu vya jim rohn ulipata baati ya kusoma kitabu chake cha Cultivating an Unshakable Character ?
Ni audio book mkuu ndio ninazoI am a fan wa Jim Rhon kama unasoft copy ya hiki kitabu tafadhali share hapa!
HahahahahahahahSipendi soma vitabu. English literature nilifaulu kwa kusimuliwa tu na mambo yakaenda. Anasoma mwingine afu anasimulia unachukua summary
Bakhresa huwa anasoma kitabu kimoja tu Cha kurani na Ni bilionea mleta mada umesoma vitabu 500 halafu bado lofa
Katika kusoma kuanzia mwanzo hadi mwisho sijaona nafasi ya Mungu katika maisha yako..kwaio wewe jamaa Mungu unamuweka katika nafasi ipi?
ic would u mind sharing hizo audio books? naamini zitanisaidia mno[emoji120]Ni audio book mkuu ndio ninazo
how can I access hio library ic? I'm interestedUngana na watu walio na Passion ya kusoma vitabu kama wewe Katika THE MAIN LIBRARY bure kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ushajikatia tamaa ndyo maana!Haiwezi ukawa bilionea, trust me mkuu. Ila nijuacho ni kwamba utakuwa mwingi wa maarifa na labda hekima lwa ajili ya ku motivate waliokata tamaa na wasioona njia.
Mara ya kwanza nilikua kama wewe.
Na wacheza forex je ? hahahahaMotivational speakers, Wauza products za alovera na general D, Manabii na Mitume, Wachungaji wa Makanisa ya masafa ya FM/Mafupi (Makanisa ya Udaku), waganga wa kienyeji, hawa wote mimi huwa ninawaweka Group moja tu.
Mkuu kusoma ni step moja maamuzi yakufanya kitu ni step nyingineKweli. Desturi ya kusoma vitabu ni nzuri, lakini ikumbukwe kuwa knowledge is NOT power. Effectively applied knowledge with definitive plans and persistent actions IS POWER. Unaweza kusoma vitabu 1000 vya "self improvement" au "investment" ila kama huchukui hatua madhubuti, utabakia hapo ulipo.
When man speak out his word πππππ
Unadhani altitude peke yake ndiyo inayokufanikisha?
Kuna watu wapo negative kabisa na kitu fulani lakini wanafanya sababu tu kila wakigusa kinawafanikisha. Lakini ukiwa altitude yao juu ya jambo hilo ni very negative ma hataki hata watoto wake au watu wengine wathubutu.
Ukitaka kufanikiwa put your hands in it, play it, expect the worse, vumilia mateso, utaanguka lakini amka.
Achaneni ma mambo ya kuwaambia watu close your eyes and make a wish, Life is not about making wishes but commitments.
Tuwe wakeeli tu katika eneo hili tunawa fail watu wengi sana sababu tunawasimulia mambo magumu kwa namna nyepesi.