Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Umeomba ajira hizi za juzi za LGA na MDAs?? Well, i hope umeomba na kama hujaomba basi jitahidi kuwa unapitia mara kwa mara humu kuna nafasi huwa zinatangazwa. Kila la heri kaka
Chuo kikuu huria Kuna nafasi ya course yako imetangazwa kule mkuuAsante mkuu - nafatilia huku na huku
Ili atimaye nipate sehemu ambayo ntatumia AKILI yangu na Maarifa na ujuzi katika jamii yetu.