Nimesomea Early Childhood, natafuta kazi

Nimesomea Early Childhood, natafuta kazi

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Habari wakuu,

Naitwa Erick Bernard natafuta Kazi ya ualimu nimesomea early child hood.

Sifa zangu
  • Mpole na mwenye kuheshimu kila MTU
  • Mchapakazi
  • Ninafundishika
  • Hofu ya Mungu

ELIMU- degree ya early child hood.

Natanguliza shukurani wakuu.

Namba ya simu: +255 748 630 698

Pia naweza kufanya Kazi nyingine halali ambazo ziko nje ya taaluma yangu.

Kama

UPISHI kwenye restaurants

Usimamizi wa miradi ya ufugaji na kilimo

Kutoa usaidizi dukani kuuza na kununua .

Storekeeper.

Kiufupi Mimi ni multipurpose na mwaminifu Sana

Nipo DSM kwa sasa.
 
Umeomba ajira hizi za juzi za LGA na MDAs?? Well, i hope umeomba na kama hujaomba basi jitahidi kuwa unapitia mara kwa mara humu kuna nafasi huwa zinatangazwa. Kila la heri kaka​
 
Umeomba ajira hizi za juzi za LGA na MDAs?? Well, i hope umeomba na kama hujaomba basi jitahidi kuwa unapitia mara kwa mara humu kuna nafasi huwa zinatangazwa. Kila la heri kaka​

Asante mkuu - nafatilia huku na huku
Ili atimaye nipate sehemu ambayo ntatumia AKILI yangu na Maarifa na ujuzi katika jamii yetu.
 
IMG_20240815_181350.jpg
 
Back
Top Bottom