AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Habari,
Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka.
Ninaweza vilevile nikahudumu vizuri tu kwenye Marketing, Help Desk/Call Center, Sales, Public Relations and all about Business Management and Operation.
Vilevile nina utaalamu juu ya matumizi ya Computer kwa ufanisi wa kadri na Softwares zake mfano MsWord, MsExcel...na vile vile programs kadhaa za GRAPHIC DESIGNING mfano ADOBE, MsPublisher.
Kwa yeyoye yule ambaye ANA UWEZO YEYE BINAFSI (awe HR au yeyote) akaniweka hata kwa muda mfupi kupima utendaji wangu hata bila Malipo, ninaomba Msaada wake. NINAKUHAKIKISHIA UAMINIFU INSHAA ALLAAH.
Tafadhali naomba ambaye angependa kunichukua tafadhali naomba unitumie PM moja kwa moja nikutumia CV pamoja na VYETI VYANGU CERTIFIED, na mawasiliano zaidi.
Nasisitiza naomba kwa heshima na taadhima NITUMIE MESSAGE PM MIMI NITAJIBU HARAKA IWEZEKANAVYO KILE UNGEPENDA KUFAHAMU AU KUKIPATA INSHAA ALLAAH.