KERO Responded Nimesotea kupata huduma BRELA Mbeya, hawapokei simu wala hawashughulikii zile za 'online'

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi Mkurugenzi wa Kampuni niliwasilisha taarifa zangu BRELA Mbeya kuhusu kupata Annual Return nilikamilisha process zote na Ada nikalipa ila zaidi ya wiki mbili nikawa napambania kupata a-approve ya ofisi hiyo, jambo ambalo lipo online lakini shughuli yake ni kubwa kutekelezwa.

Tukiwapigia simu BRELA Mbeya hawapokei, ukienda ofisini kwao hawato ushirikiano.

Ikabidi nitumie mlango wa nyuma, nikatafuta mtu ambaye nafahamiana naye pale BRELA, nikaongeza naye akanisaidia shida yangu, nikawaacha wenzangu wengi ambao wao hawana connection.

Kuna mwenzangu naye amelipa kiasi cha Tsh laki 5 kufungua kampuni hadi leo zaidi ya mwezi sasa hajapata huduma yoyote.

================​

Majibu ya mamlaka husika ~ Majibu ya BRELA kuhusu hoja ya Mdau
 
Mimi Mkurugenzi wa Kampuni niliwasilisha taarifa zangu BRELA Mbeya kuhusu kupata Annual Return nilikamilisha process zote na Ada nikalipa ila zaidi ya wiki mbili nikawa napambania kupata a-approve ya ofisi hiyo, jambo ambalo lipo online lakini shughuli yake ni kubwa kutekelezwa.

Tukiwapigia simu BRELA Mbeya hawapokei, ukienda ofisini kwao hawato ushirikiano.

Ikabidi nitumie mlango wa nyuma, nikatafuta mtu ambaye nafahamiana naye pale BRELA, nikaongeza naye akanisaidia shida yangu, nikawaacha wenzangu wengi ambao wao hawana connection.

Kuna mwenzangu naye amelipa kiasi cha Tsh laki 5 kufungua kampuni hadi leo zaidi ya mwezi sasa hajapata huduma yoyote.
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba namba ya ombi lako la usajili wa kampuni ambalo bado hujapokea majibu yako kwa ajili ya msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom