Nimestaafu

Nimestaafu

Maumbile ya kuku na mwanadamu ni tofauti!! hivi umeshawahi kuona hata n'gombe akikosea? au punda!!! acheni Dhambi jamani waungwana. kuna moto!!!!

Nani kakwambia kuna moto? Acheni kuogopesha watu
 
biblia inasema ole wa mfira..ji na mfirw..ji


Huyu ni wewe? Wengine tumezoea kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kwa hiyo naweza kujifunga mabomu nikajilipua tu! Haina shida! Hata wale mbuzi wangu wa kijijini kwetu wote nitauza kwa ajili yako vivian!
 
Mkuu fide hongera ila na mashaka kidogo,time will tell
 
FIDEL
umemaanisha kuacha au unatania mkuu???

kama ni kweli nakushauri umshukuru Mungu kwa kukunusuru au la ungetopea topeni.

Jamani kula tope ni balaa, acheni kina masanilo
 
Hahaha! Ishia hapo hapo! Si wanasemaga wachaga hawajui malavidavi. Sasa tunayaonyesha theoretically!

well said Mpwa. hivi huyu ni SHE/HE jamani manake sijamuona kwenye quorum yetu.....hebu mnisogezee file lake
 
hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects
 
hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects
kweli bwana kijana sijui alifunga kwa maombi kwanza ndo akatoa maamuzi
 
Back
Top Bottom