Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Nimezooom picha, mpaka muda huu bado sijaiona hiyo minyoo kwenye mchuzi.Wadau nipo serious kama hamna uzoefu na swala hili naomba tusijaze uzi tusubiri wataalamu waje watufafanulieView attachment 1117472
Mnyoo nimemtoa katika nyama nikamweka chini bado mzimaNimezooom picha, mpaka muda huu bado sijaiona hiyo minyoo kwenye mchuzi.
Ebu nioneshe ilipo.
Conclution ndio kitu gani? Rudi darasani usichafue Kiingereza. Jieleze kwa Kiswahili.
Sawa mkuu.Conclution ndio kitu gani? Rudi darasani usichafue Kiingereza. Jieleze kwa Kiswahili.
Nimezooom picha, mpaka muda huu bado sijaiona hiyo minyoo kwenye mchuzi.
Ebu nioneshe ilipo.
Ai a hii ya minyoo huwa wagumu sana kufa, usiombe akaingia tumboni, kumtoa shghuli yake pevu. Ndo maana mm sipendi kabisa nyama ya kuku
Minyoo ndan ya nyama inakufa kama itakutana na joto la zaidi ya nyuzi 74..Habari wadau wa JF:
Kwa wenye utaalamu na hili,
Nimenunua kuku nikamwandaa vizuri na kumpika kwa takribani dakika 50 au saa 1.
Nimeshangaa baada ya kuchukua nyama nimekutana na minyoo ikiwa hai kabisa licha ya kuipika nyama kwa muda huo wote.
Je, hii ni nini kitaalamu? Hawa minyoo hawafi kwa moto? Je nyama hii inafaa kuliwa?
Naomba ufafanuzi wadau najua humu kuna wafugaji na wataalamu wengine.
mkuu mnyoo wa aina hii huwa inapatikana katika utumbo wa kuku ,, je hyo nyama yako ulipika na utumbo pamoja ,,, minyoo kama hii huwezi kuikuta kwenye stake ni kwenye utumbo tu basi,,,Mnyoo nimemtoa katika nyama nikamweka chini bado mzimaView attachment 1117557
Dah!mkuu mnyoo wa aina hii huwa inapatikana katika utumbo wa kuku ,, je hyo nyama yako ulipika na utumbo pamoja ,,, minyoo kama hii huwezi kuikuta kwenye stake ni kwenye utumbo tu basi,,,