Nimestaajabu, Minyoo katika nyama ya kuku

Nimestaajabu, Minyoo katika nyama ya kuku

Serious??? Dakika 50 kwenye moto mnyoo asife?

Unbelievable!!!!
 
kwa kutegemea na kiwango cha joto kilichotumika dk 50 zinaweza zisitoshe
Ila joto la kuchemsha nyama ya kuku ni kubwaa... Labda kama alijificha kwenye Misuli ndani kabisa ya nyamaa
 
Mtie kwenye sufuria alafu mchemshe peke yake kwa dk 15..uanglie kama hatokufa
 
MREJESHO:
Ahsanteni sana kwa michango yenu ya maoni, ushauri naufafanuzi.
Nimepitia comments zote nikazipima nikaona bora nimle tu kama yatatokea ya kutokea nitaleta mrejesho mwingine hapa, ila hadi sasa hivi mambo yanaenda vizuri tu sijaona dalili yoyote ya maradhi.
 
jama nimekula kiepe kuku, umenifanya nimkague yule kuku kama nakula sumu vile.
 
Hata baada ya kuikata kata nyama, huyo mnyoo bado awe mrefu hivyo...

Kuna jambo halipo sawa...


Cc: mahondaw
 
Sio kuwavuruga hata mimi nimevurugika kwa sababu nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nimeomba kama kuna wataalamu wanifafanulie.

Hata mimi huyo kuku nimemnunua kwa ajili ya Iddi ila ndio imetokea hivyo.
Ni wa kisasa au kienyeji?
 
mkuu mnyoo wa aina hii huwa inapatikana katika utumbo wa kuku ,, je hyo nyama yako ulipika na utumbo pamoja ,,, minyoo kama hii huwezi kuikuta kwenye stake ni kwenye utumbo tu basi,,,
Muongo huyu eti anasema miguuni!
Minyoo km hiyo kwa kuku asipopewa dawa ya Minyoo ni kawaida sana tena huwa inatoka akijisaidia!
Sasa yeye anasema kwenye miguu😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom