Nimestaajabu ushauri wa dakitari

Nimestaajabu ushauri wa dakitari

My advice to you is COMMIT SUICIDE!!! WHY??? Because Life begin at conception. Ulipotoa mimba umefanya dhambi ya mauaji. Umedhulumu nafsi ya mtu. According to THE TIBETAN BOOK OF LIVING AND THE DEAD. Mwanamke akitoa ujauzito, nafasi ya mtoto ambaye ujauzito wake ulitolewa hurejea tena baadaye kupitia kikojoleo cha mwanamke huyo huyo. But safari hii mtoto huyo hurejean tena duniani kwa lengo la kulipa kisasi kwa muuaji wake. Na kisasi hiki hulipwa kwa kuchukua nafsi ya mtoa ujauzito. So kitakacho tokea utakufa ukiwa unatoa mimba nyingine au mtoto atakaye zaliwa atasababisha kifo chako hapo baadaye kwa namna moja au nyingine.

SOLUTION : ACHA UONYIBERIBE! GO AND CONFESS AND DO NOT DO SUCH A FETISH ACT AGAINOOOO!

Kutoa vitisho kwa mwenzio ni kosa la jinai kulingana na aya zilizoko katika rasimu ya pili ya katiba mpya ya Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, mara kifungu hiki kikipitishwa, jitayarishe kwenda kuhudumia umma huko Segerea!!
 
Jamani msimuhukumu huyu dada, kwakua hakuna mkamilifu mbele za haki, yaliyotokea yameshatokea kilichabaki ni kuangalia mbele. kijiti sio kipaya japokua kuna side effects zake. kuna njia nyingi za uzazi wa mpango, moja ikishindwa unashauriwa kujaribu ingine. kuna case kama hiyo kwa co-worker mwenzangu lakini yeye alipata ujauzito after two years na sio miaka 3 -5 kama tunavyoambiwa. mimi pia nimeweka kijiti na sijawai pata shida yeyote tangu nilipoweka 2011. nilijifungulia private lakini dr wangu alinishauri nikaweke kijiti na si njia ingine yeyote na aliniambia nikawekee government hospital japokua hata pale kwao wanaweka. hii ni kwasababu kuna namna ya kuweka ukikosea hakifuction ipasavo, governement hospital wakunga wanaexpirience ya kutosha na kila siku wanafanyiwa trainings na secta au taasisi mbalimbali za afya.

ushauri wangu kwa kina dada wote, uzazi wa mpango ni mzuri na salama kwa afya zetu. ongea na dr wako akushauri njia nzuri kwako, isipofanya kazi badilisha tumia nyingine but kijiti is always best imeprove failure marachache sana na ni kwasababu ya uzembe au kutokua makini au kutojua jinsi ya kukipachika. na wakati unaweka ni lazima uwe kwene siku zako. ndio maana hata ukienda kwa dr anakuuliza uko hedhi au? if not anakwambia subiri mpaka uone hedhi.

pole dada yangu usitoe mimba tena, ukishajifungua, pata ushauri sahihi toka government hospital then fanyia kazi.
 
Nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila kukutana kimwili, kwa sababu nilikuwa sijajiaanda na ujio wa huyu mtoto ikabidi mimba itolewe.

Lakini nikamuuliza dakitari, vipi kuhusu hii njiti, nayo nikaitoe au lah, akasema haina shida yenyewe itaendelea kufanya kazi hivyo usiitoe, nikaiacha kwa kufuata ushauri huo, cha kushangaza baada ya mwezi toka nifanye dhambi ya utoaji, nimejigundua na mimba tena...nimestaajabu sana.

Nauliza madakitari, shida hasa ni nini hapa, njiti haina kazi, haikufanya kazi au ushauri niliopata haukuwa sahihi, maana mpaka sasa njiti bado ninayo na sijaitoa....
Kitowe hiko kijiti kisha nitafute kwa wakati wako lakini uje na pesa ndio nitakupa Dawa hutashika mimba mpaka wakati unao taka niandikie kwa baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Jitahidi hii ya pili usiiitoe...mimba ni adimu sana kupatikana siku hizi...jiandae na kulea

Ndio hawa baadaye wanaanza kulalamika nimezunguka kila hospitali lakini imeshindikana. Mimba zoote wanazalia chooni!
 
Moja ya post ambazo zimenisikitisha sana...Kuua mtoto ni sawa na kuua mtu mzima...
 
Inauma sana kutoa mtoto lakini dhambi hii watoto wote wa mjini tumepitia kwa kuwatoa wapenzi wetu mimba.Mungu nisamehe.
 
Wabongo tunapenda sana unafiki, uwazi kwetu mwiko. Na mtu akiwa muwazi tunamlalamikia. Usipokuwa mkweli huwezi kusaidiwa mawazo sahihi.

nani mnafiki kwa hyo kutoa mimba wewe waona kitu kizuri kwanza hakuna anayelalamika mimba inayo shauriwa kutolewa ni ile inayo hatarisha maisha ya mama ila mleta mada alijiamulia tu hafu wabongo wote wametoka wapi we harst generalization ni false
 
Ndio hawa baadaye wanaanza kulalamika nimezunguka kila hospitali lakini imeshindikana. Mimba zoote wanazalia chooni!

ni kweli wadada tubadilike bwana sasa na sisi wazazi wangetutupa chooni ingekuwaje mi hchi kitendo sikipendi kabisa kuua innocent child
 
Jsmsni tumieni njia za asili-hivyo vijiti vya kuzuia mimba ni balaa-ukibahatika soma maelezo yaliyo kwenye mfuko wenye kutunza hicho kijiti ndo utajua!!!!
 
Jamani hizi njia kwa nilivosikia nyingi baadae zinasababisha cancer tuwe makini tu,poleh Dada I believe hata wewe mwenyewe hupendi ulichofanya juz usifanye tena,
 
Back
Top Bottom