rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Masikini hashindani na mwenye hela watakufunga haoJumatatu naenda TCRA Kuna Jambo nafatilia nitawaonyesha hao maafisa jinsi gani tunaibiwa ndio maana sijataja jina la kampuni.
Halafu mnapiga kelele mnataka katiba mpyaMasikini hashindani na mwenye hela watakufunga hao
Hahaha fundi bisho umepatikanamkuu na mm nmejarbu hvhv ulivfnya ww nlkua na mb 146
nmezma data sekunde kam 15 hv naangalia salio nakuta mb 144 dah kummke
Angalia setting ya simu yako kama kuna app zina run on background.
Pia angalia auto updates...
Ujiepushe na aibu ndogondogo siku ukienda TCRA.
Mmmh hataarSiku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho.
Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi.
Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio nikakuta na mb 269. Sijui nimewaza Nini bado sijawasha data kuangalia salio nakuta mb 266 nikashtuka baada ya dakika mbili nimeangalia salio hapo data nimezima nikakuta mb 263. Kwa maana nyingine hata ukizima data bado mb zinaisha.
Jumatatu naenda TCRA Kuna Jambo nafatilia nitawaonyesha hao maafisa jinsi gani tunaibiwa ndio maana sijataja jina la kampuni.
...Halafu Ubishi Sasa wa Makampuni Haya ! Wizi TU ![emoji35][emoji35][emoji35]...Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho.
Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi.
Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio nikakuta na mb 269. Sijui nimewaza Nini bado sijawasha data kuangalia salio nakuta mb 266 nikashtuka baada ya dakika mbili nimeangalia salio hapo data nimezima nikakuta mb 263. Kwa maana nyingine hata ukizima data bado mb zinaisha.
Jumatatu naenda TCRA Kuna Jambo nafatilia nitawaonyesha hao maafisa jinsi gani tunaibiwa ndio maana sijataja jina la kampuni.
Nini maana ya kuzima data?Angalia setting ya simu yako kama kuna app zina run on background.
Pia angalia auto updates...
Ujiepushe na aibu ndogondogo siku ukienda TCRA.
Eeh kumbe? Na huu utaratibu ni international? Mbona. I simu zote sasa siku hizi?Simu yoyote ambayo betri ipo ndani kwa ndani wakuu huwa inakuwa traced! Wewe zima ila fahamu kuna activities zinahitajika! Ukitoa betri huwezi kutana na upuuzi huo. Mfano Iphone, inarekedi mpaka mjongeo, sauti na ikibidi location, zinaenda huko zinapoendaga. Sababu kuu ya kuweka betri ya ndani kwa ndani nibkukusanya taarifa za watumiaji hata data ikiwa off! Na sasa hivi ni kwamba hata simu ukiizima still data zinazohitajika zitachukuliwa hivyo hivyo maana chip zimeweka ktk betri. Inaudhi lakini ndio kweli yenyewe
Huo muda uliomaliza kuangalia bundle hadi ukaenda kwenye settings kufunga data una uhakika apps zilizokua on zisingeweza kutumia hizo 2 mb?mkuu na mm nmejarbu hvhv ulivfnya ww nlkua na mb 146
nmezma data sekunde kam 15 hv naangalia salio nakuta mb 144 dah kummke
Mzee anazinguaNini maana ya kuzima data?
Kwakweli siku hizi namna bando linavyoisha aidha Tunaibiwa au bando tunalouziwa sio halisi na hatuna namna ya kuthibitisha......MB ni kitu hewa.Unaingilia Dili la Nape
Tigo ndiyo hatari zaidi.Hata kama data ikiwa off bado hizo app zinatumia data ndugu mtaalam?
nimezma data afu nkaangalia salio nmkaa hz sekunde afu nkaangalia tenaHuo muda uliomaliza kuangalia bundle hadi ukaenda kwenye settings kufunga data una uhakika apps zilizokua on zisingeweza kutumia hizo 2 mb?