Nimestushwa sana kusikia mtangazaji Wasafi Media, anayeitwa Adela, akijimwambafai kuwa amewahi kuhongwa milioni 60 na mpenzi wake!

Nimestushwa sana kusikia mtangazaji Wasafi Media, anayeitwa Adela, akijimwambafai kuwa amewahi kuhongwa milioni 60 na mpenzi wake!

Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa Adela, akimuuliza awe mkweli na amwambie katika maisha yake , anakumbuka ni kiasi Gani alichowahi kuhongwa kikubwa na anakumbuka ni kiasi Gani??

Msichana huyo bila aibu Wala kusita amejibu kuwa aliwahi hongwa na Bwana tu aliyekuwa akitembea naye shilingi milioni 60 Kwa mpigo!

Nimestushwa sana na huo ushuhuda aliotoa huyo mdada, ingawa hakumtaja huyo mtu wake "kibopa bilionea" lakini Mimi naamini kuwa atakuwa mwanasiasa, kutoka Sisiem!

Kwa kuwa pia naamini kuwa huyo "kipopa bilionea" atakuwa amefanya wizi wa Kula Kwa urefu wa kamba yake!

Kwa kuwa Rais Samia alishawapa "green light" hao wateule wake, wale Kwa urefu wa kamba zao, Kwa kuwa siamini kama atakuwepo mfanyibiashara yoyote atakayekuwa na "wehu" huo wa kuhonga pesa nyingi kiasi hicho, tena akiwa ni kimada tuuu!

Kwa kuwa najua Kwa mfanyibiashara yeyote wa nchi hii hata akiwa "level" za akina Bakheresa, hawezi kufanya uendawazimu wa aina hiyo, ukizingatia mlolongo wa makodi ya TRA yanayomwandama Kila kona
Mtu kachota pesa za maskini anakwenda kuhongea wanawake, CCM iwajibike kwa hili.
 
Msichana huyo bila aibu Wala kusita amejibu kuwa aliwahi hongwa na Bwana tu aliyekuwa akitembea naye shilingi milioni 60 Kwa mpigo!

Nimestushwa sana na huo ushuhuda aliotoa huyo mdada, ingawa hakumtaja huyo mtu wake "kibopa bilionea" lakini Mimi naamini kuwa atakuwa mwanasiasa, kutoka Sisiem!
Sasa unashtuka nini hapo ?....
 
Kama kama kama jaba la maji nani wa kumpa mil. 60.

Liongo hilo demu, anajipandisha thamani kwa wanaomsikiiza na nia ya kumtaka.
 
Umeuona mguu wake?
Hata ungekuwa wewe ungehonga!
1725385574994.png

Viko wapi hivyo vitu??
 
Niliwahi kumDM hajanijibu mpaka leo. Labda nimuulize nitume milioni 60 kwenye akaunti gani
 
Shenz type huyo mwanaume anaye honga million 60 ndio anapandisha bei za mbususu.
Hapa duniani kwanza mbususu haitakiwi kuzidi buku jero. Ujinga wetu tuu wanaume wanaosaliti kambi ndio wanafanya zipande bei
Wana wasaliti sana, wanafanya maisha yetu wengine yawe magumu kwenye soko
 
Shenz type huyo mwanaume anaye honga million 60 ndio anapandisha bei za mbususu.
Hapa duniani kwanza mbususu haitakiwi kuzidi buku jero. Ujinga wetu tuu wanaume wanaosaliti kambi ndio wanafanya zipande bei
Jamani si pesa zao, waacheni wafanye watakavyo.
 
Back
Top Bottom