Nimetafakari sana mpaka nikagundua ndiyo maana hakuna mwanamke namba moja kwa utajiri na haji kutokea

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
789
Reaction score
2,613
Hawa wanawake kazi yao ni kufilisi tu, jamaa zetu kule wacheza mpira wanamwaga jasho jingi uwanjani. Wanapambana mpaka wanakuwa mabilionea alafu wanakuja kufilisiwa na wanawake.

Ndipo nikagundua sasa hawa Mungu aliwakataaga kitambo sana na ndiyo maana hakuna mwanamke mwenye utajiri akawa namba moja duniani.

Hata hawa wanaowaruhusu wanawake kuwa viongozi wakubwa wa dini wanakosea sana.

Kanisani kwetu moravian eti wameleta mchungaji wa kike nina mwaka wa pili sasa sijaenda tena pale kanisani kwetu.

HII HAIKUBALIKI NIMEKATAA
 
Sio utajiri tu bali hata mamlaka/utawala umewekwa chini ya UANAUME. Angalia hata hao wanawake waliofanikiwa au wenye vipato, wanakwambia wangekuwa wanaume wangekuwa zaidi ya hapo.

Pili Mkuu mtu kufilisiwa na mwanamke mida mwingine ni mwanauke mwenyewe kutaka, mtu umetafuta pesa umeipata, unaenda kuoa mwanamke mmekutana bar/club au kazini tu, huijui familia yake wala malezi, akauigizia maisha unamuona mke kumbe mwenzako yupo kimkakati, hapo mwanaume lazima uanguke.
 
Yani nimeacha kwenda kanisani kwetu sababu ya huo ujinga sijui wanaowapa hivyo vyeo wanawazaga nini.
 
Hahaha,
Mtafanya hawa wanawake wenye mafanikio wageuke ma Tom-boys wawe washindani wetu kwenye uchakataji wa mbususu
😅Hiyo haibadilishi uhalisia hata akiwa tom-boy bado anajinsia ya kike hivyo hata afanyeje na yeye wapo watakaomt*mba tu... tena wengi kwa idadi. Nakupigwa mimba juu akakutane leba kule na madaktari bingwa.
 
Haha,
Basi, inabidi hayo yazingatiwe hata kwenye siasa.

Ngoja nimuite chawa mwandamizi Tlaatlaah aje hapa na jopo lake kuchukua madini
 
Hawa wanawake kazi yao ni kufilisi tu, jamaa zetu kule wacheza mpira wanamwaga jasho jingi uwanjani. Wanapambana mpaka wanakuwa mabilionea alafu wanakuja kufilisiwa na wanawake.

Ndipo nikagundua sasa hawa Mungu aliwakataaga kitambo sana na ndiyo maana hakuna mwanamke mwenye utajiri akawa namba moja duniani.

Hata hawa wanaowaruhusu wanawake kuwa viongozi wakubwa wa dini wanakosea sana.

Kanisani kwetu moravian eti wameleta mchungaji wa kike nina mwaka wa pili sasa sijaenda tena pale kanisani kwetu.

HII HAIKUBALIKI NIMEKATAA
Kwann moravian wengi ni wanyachusa toka mbeya
 
Back
Top Bottom