Nimetafuna mende mwenye yai nyuma kwenye maharage nimependa ladha yake

Nilijua nitatapika ila kiukweli nimeinjoi Sana nimefurahishwa na ladha yake japo nilimtafuna kwa bahati mbaya nimeridhika na ladha yake.
Pole sana wewe ndio unajua leo wenzio mende tunakula tokea kitambo sana. halafu uyo mende cha mtoto siku ukila jongoo ukameza ule mchuzi wake utasimulia mpaka wajukuu wako kwa utamu wake.
 
N

Nikimla kwa kudhamiria nitatapika ila nikimla kwa bahati mbaya haina shida
 
Wewe hutapata tabu kabisa no matter what vitu vya protein vitakavyopanda bei na kuadimika, jukumu lako litakua ni kukusanya taka na kuweka mtego wa mende humo. Nashukuru sasa tunaanza kuihuisha historia yetu iliyokua imefichwa na mabeberu.
 
Nilijua nitatapika ila kiukweli nimeinjoi Sana nimefurahishwa na ladha yake japo nilimtafuna kwa bahati mbaya nimeridhika na ladha yake.
Jiandae kuona mende wanaweka makazi tumboni kwako mzee baba
 
Nilijua nitatapika ila kiukweli nimeinjoi Sana nimefurahishwa na ladha yake japo nilimtafuna kwa bahati mbaya nimeridhika na ladha yake.
Dah....kifo cha mende hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Back
Top Bottom