Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula Mende sio shida,swala ni kuwa huyo Mende kabla ya kumla makazi yake yalikuwa wapi...!!Nilijua nitatapika ila kiukweli nimeinjoi Sana nimefurahishwa na ladha yake japo nilimtafuna kwa bahati mbaya nimeridhika na ladha yake.
Unajua mende mwekundu anafanana na maharage kwahiyo sijilaumu na maadamu roho imerudhika basi kiroho Safi.