Ondoa hiyo pesaNi motisha tu wala sio rushwa
nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga
Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport
Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
View attachment 3294618
asante kwa ushauri mkuuOndoa hiyo pesa
Weka qualifications zako
Umri
Uzoefu
Mawasiliano
Hakika!Hiyo laki ni mtaji tosha ukiwa serious
Unaweza kuifanya hio pia mkuu.Hakika!
Anaenda kujumua chupi za 80,000. Akiuza zote anapata faida mara mbili 160,000.
Ndani ya mwezi akiuza mzigo mara 4 = 160,000 × 4 = 640,000.
Mwaka una miezi 12, kwahiyo 640000 x 12 = 7,680,000.
Kwahiyo hapo ashindwe yeye tu.
Utapata hitaji la nafsi yako mkuu.Unaweza kuifanya hio pia mkuu.
Business is not for everybody
Acha kamdomoUtapata hitaji la nafsi yako mkuu.
Wadau husika watakusaidia katika hilo.
Sijakulazimisha ufanye biashara.