Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

Fanya hivi, kama vile unavyojisikia kula kuku wa kienyeji na ukaenda chako ni chako Dodoma, panda ndege zifuate hizo wine huko zinakopatikana..!!! Sisi wenyewe tukienda Bharain hatuzipati serengeti lager ndogo..!!! Tunakunywa tu pine za heineken
 
Nenda Level 8 utaipata. Kuna aina tatu za Pinot utazipata pale, Matua hii nafikiri ni ya New Zealand (Tshs. 165k) pia Patriache ilikuwa around Tshs 80k pamoja na Shannon hii kama sikosei ilikuwa 120k au 160k.
 
Asante sana kaka Level 8 ndio ipo wapi?
 
Hiyo wine haina jina mkuu?
 
Ukiipata naomba niionje kidogo mkuu.
 
Nani ana access na mahali ninapo weza kuipata?

I am thinking of flying to Dizonga in case kama nitaendelea kuikosa.

With much thanks in advance
Dizonga kufanya nini mzee wakati Slipway Masaki zimejaa kibao wiki iliyopita nimeziona....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…