Nimetafutiwa kazi Canada, naomba ushauri wa namna ya kufika

Nimetafutiwa kazi Canada, naomba ushauri wa namna ya kufika

Yussuf senga7

Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
6
Reaction score
3
Mimi sio mwandishi mzuri sna ila ninaomba ushauli nina ndugu yangu anaishi Canada kanitaftia kazi ya delivery sijawai fika.

Naomba mwenye uzoefu wa kusafiri na ni nchi gani nikienda itakua raisi mimi kwenda Canada sina pesa za kunitoa hapa Tz mpk Canada.
 
Back
Top Bottom