Mimi sio mwandishi mzuri sna ila ninaomba ushauli nina ndugu yangu anaishi Canada kanitaftia kazi ya delivery sijawai fika.
Naomba mwenye uzoefu wa kusafiri na ni nchi gani nikienda itakua raisi mimi kwenda Canada sina pesa za kunitoa hapa Tz mpk Canada.