Nimetahiri ukubwa 'miaka 25' nimepata matatizo

Nimetahiri ukubwa 'miaka 25' nimepata matatizo

GAMBLE

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
12
Reaction score
6
Poleni na shughuli wote kama mtaguswa na tatizo langu mie sina raha hata kidogo tangu nilipotairiwa mwaka jana tarehe 26 .10 badaye nikapona ila nikambiwa nifanye mapenzi baada ya miezi 3 kwa kutumia condom na sita 6 bila kinga.

Lakini nilifanya mapenzi na mpenzi wangu kabla ya miezi 3 so tatizo limekuja sasa mtaimbo wangu ni shida kuwa stable yani ni karaha nafanya mapenzi nawahi sana kukitupa na cha pili au tatu nachukua muda mrefu sana kukitupa.

Pia niliwahi kupiga punyeto sana hata mara | kwa wiki au wiki mbili so nahisi misuli ya mtaimbo wangu imeregea sasa msaada na ushauri wenu ni mzuri kurudisha hali yangu ya hawali. Nitashukuru sana kama mtanisaidia kutumia njia za kaida kumaliza tatizo langu.

AHSANTENI SANA My Real Name Christopher Mwitta Bingu.
 
Mmmmmh Umeamua utuwekee na really name why ? pole madr watakusaidia
 
MziziMkavu hebu saidia huyu raia, maana hizi ndio nyanga zako
 
Last edited by a moderator:
Mwita kweli ume vurugwa!acha kufanya mapenzi na punyero kama miezi 3 ivi!Baada ya hapo uta niambia...
 
Back
Top Bottom