kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tafuta wale wanaokulipia mahari. Ninamaanisha mwanaume kulipiwa kama India.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uende MtwaraAma hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?
Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Thamani ya ngombe huwa laki ama elf 50 so usiogopeAma hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?
Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? [emoji22]
We muoaji mlalamishi chukua hii itakusaidia sio unavamia tu kabila za watu.Guys mm ni mnyantuzu
Iko hivi, thamanisha hao ngimbe kwa pesa, wabane thamani ya ngombe isizid laki moja, anzieni elf 50. Huwa tunalipa nusu ngombe 25 zingine huwa hazilipwi hadi mnazeeka, bamkwe ndo akitaka kuja kusalimia wajukuu huja kudai madeni unampa ngombe mmoja then unamwambia baba bado tunajipanganga
Aachane na magasa...Guys mm ni mnyantuzu
Iko hivi, thamanisha hao ngimbe kwa pesa, wabane thamani ya ngombe isizid laki moja, anzieni elf 50. Huwa tunalipa nusu ngombe 25 zingine huwa hazilipwi hadi mnazeeka, bamkwe ndo akitaka kuja kusalimia wajukuu huja kudai madeni unampa ngombe mmoja then unamwambia baba bado tunajipanganga
Ukitoa mahari yote unyantuzuni ni dharau inamaana hautaki udugu and hautaki ukweni waje kusalimiaAachane na magasa...
Alipe tu amalize...
Amagasa gatīgawiza [emoji16]
Ukitoa mahari yote unyantuzuni ni dharau inamaana hautaki udugu and hautaki ukweni waje kusalimiaAachane na magasa...
Alipe tu amalize...
Amagasa gatīgawiza [emoji16]
Bro achana nao hao..twende nikupeleke kondoa hapo unachukua pisi kali kwa laki 3 tu ya mahariAma hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?
Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Unyantuzu ya wapi mkuu unaongelea?Ukitoa mahari yote unyantuzuni ni dharau inamaana hautaki udugu and hautaki ukweni waje kusalimia
Ukiona umepangiwa ng'ombe wengi namna hiyo kuna mambo kadhaa.
1. Pengine hiyo familia hawakutaki. Njia hii hutumiwa baada ya familia kuongea na msichana na kuona kuwa hakukubali sana basi wanakupangia bei kubwa ili ukate tamaa mwenyewe. Na huwa hawataki pesa. Watataka ukalete ng'ombe au nusu pesa nusu ng'ombe.
2. Binti ni mweupe, mrefu na amesoma. Hapa tegemea ng'ombe kibao kama hao ulioambiwa.
3. Muhimu sana: Ulizia exchange rate ya ng'ombe kwenda kwenye pesa. Unaweza ukakuta unapangiwa kila ng'ombe ni 20K tu. Kwa hivyo kwa ng'ombe wote 50 kwenye pesa utatoa milioni moja tu which is reasonable. Kiwango cha juu pengine itakuwa 50K kwa kila ng'ombe. Kwa hiyo ng'ombe wote 50 itakuwa 2.5 milioni which is still reasonable.
Tafuta wajomba wenye negotiation skills nzuri wakakufanyie hiyo kazi. Kama binti anakukubali mtaishia kwenye 30K kwa kila ng'ombe (1.8 million).
Au kama vipi nilipe mimi nikakufanyie hiyo kazi. Nitawalazimisha kila ng'ombe 10K na total ya mahari iwe laki tano.
Njoo inbox tufanye biashara. Nitakuchaji laki mbili tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umeona eeeh!Jamani muolewaj laki 5 dalali laki 2 duh
Hata akipeleka hela hao ng'ombe 50 ni pesa ndefu sana.Sio lazima upeleke ng'ombe. Peleka hela watanunua hizo ng'ombe wenyewe.