Nimetajiwa ng'ombe 50 kwa ajili ya mahari tu, eeh nafwaa!

Tafuta wale wanaokulipia mahari. Ninamaanisha mwanaume kulipiwa kama India.
 
Si uende Mtwara
 
Thamani ya ngombe huwa laki ama elf 50 so usiogope
 
Guys mm ni mnyantuzu
Iko hivi, thamanisha hao ngimbe kwa pesa, wabane thamani ya ngombe isizid laki moja, anzieni elf 50. Huwa tunalipa nusu ngombe 25 zingine huwa hazilipwi hadi mnazeeka, bamkwe ndo akitaka kuja kusalimia wajukuu huja kudai madeni unampa ngombe mmoja then unamwambia baba bado tunajipanganga
 
We muoaji mlalamishi chukua hii itakusaidia sio unavamia tu kabila za watu.
 
Na kugongewa kama kawa, mlete tu mjini wajuba tumfaidi wana huruma sana hao
 
Aachane na magasa...

Alipe tu amalize...

Amagasa gatīgawiza [emoji16]
 
Bro achana nao hao..twende nikupeleke kondoa hapo unachukua pisi kali kwa laki 3 tu ya mahari
 
Ukitoa mahari yote unyantuzuni ni dharau inamaana hautaki udugu and hautaki ukweni waje kusalimia
Unyantuzu ya wapi mkuu unaongelea?

Kama hutaki magasa unatoa tu mahari yote mnamalizana. Nilifanya hivyo mwaka juzi tu hapa na hakuna kilichoharibika. Labda inategemea na familia uliyooa pia.

Lekagūbūlongo!
 

Jamani muolewaj laki 5 dalali laki 2 duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…