Hebu twende taratibu kwanza usitukokotekotete tu, huyo kaka yako aliambiwa atowe mahari ya kilo 10 ya dhahabu kwa sababu anatoka Africa, je ni bara gani hilo alilokwenda kuoa na ni nchi ipi hiyo? ebu tuanzie hapo kwanza.
Nahisi hata wakristo ndivyo inavyotakiwa kuwa. Tatizo ni ufukara, kama utakuwa umegundua mara nyingi familia masikini huwa wanatoza mahari kubwa sana nafikiri huwa wanaona kama ndo pakutokea, lakini ni mara chache sana kuona familia ambazo zinajiweza zikakupiga mahari kubwa.
Hahahahaaaaa duh, Kg 10 za dhahabu kwa haraka haraka ni kama Mil 500 tsh kwa mahari tu!! Pambafu!!!
Mkuu kwani huyo shemeji yako ni mzungu ama??
walikuwa washenzi tuu, kwani unadhania walikuwa wanasema kweli ilikuwa njia ya kumfukuza, kabinti kao ni kaelitrea mama yake ni mmarekani mweusi, kaka na mke wake sasa wanaishi sweden ( walioanoa tuu) watu wa elitrea ndiyo waliodai mambo hayo, halafu huwa siongei kitu nisichokijua. kaka yangu na mimi ni wabaganda kutoka mukono uganda, mimi naishi tanzania sasa. kuna swali?
nimekusamehe bure kwa sababu nina uhakika bado unajifunza kiswahili si rahisi kuelewa nilichokuuliza ndio maana hapa umeninywesha juice ya pilipili na supu ya mawe siyo kokoto.
mi najua kiswahili ndugu yangu we acha tuu, na huwa nikishindwa kuelewa jambo kiundani nina kamusi yangu na pia kuna marafiki wananisaidia
nimekusamehe bure kwa sababu nina uhakika bado unajifunza kiswahili si rahisi kuelewa nilichokuuliza ndio maana hapa umeninywesha juice ya pilipili na supu ya mawe siyo kokoto.
Nnachofahamu mahari sio lazima ilipwe yote na kuna nafasi kubwa tu kwa pande zote kujadili.
walikuwa washenzi tuu, kwani unadhania walikuwa wanasema kweli ilikuwa njia ya kumfukuza, kabinti kao ni kaelitrea mama yake ni mmarekani mweusi, kaka na mke wake sasa wanaishi sweden ( walioanoa tuu) watu wa elitrea ndiyo waliodai mambo hayo, halafu huwa siongei kitu nisichokijua. kaka yangu na mimi ni wabaganda kutoka mukono uganda, mimi naishi tanzania sasa. kuna swali?
Kwani mahari inatolewa yoote, usiogope mahari kubali tanguliza nusu chukua binti nyingine utamaliziaga mbele kwa mbele.WaJF naomba ushauri wenu nifanye je ?
Mchumba nampenda sana na nataka kuoa ila hiyo mahali niliyotajiwa imeniumiza kichwa kabisa.
Wazazi wake wanataka mahali 5mil.mi ntatoa wapi ?
Hii ni biashara ?mbona tunaumizana hivi ?nimejaribu kuzungumza na mchumba wangu ,anasema hana uwezo wa kubadili maamuzi ya kikao cha wazazi na ndugu zake ? Naomba wajf mnishauri please?
Nifanye je?
Naomba ushauri
"elitrea" ndio wapi? au ulimaanisha Eritrea?
Kwani mahari inatolewa yoote, usiogope mahari kubali tanguliza nusu chukua binti nyingine utamaliziaga mbele kwa mbele.