Askof Mstaafu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 924
- 4,581
Hapa kwenye kibali cha ujenzi nina chakusimulia
Wajumbe kutoka serikali ya mtaa wangu ni wanoko sana na wanapenda mserereko. Katika pitapita zao kwenye mtaa wao wakakuta kuna ujenzi unaendelea bila ya kibali wakawachimba mkwara wa kutosha mafundi wasiendelee na ujenzi maana hawakumkuta boss wa eneo lile.
Wakaondoka huku wameacha kamera kibao ( wanoko wambeya) kama mafundi wakiendeleza ujenzi watoe taarifa kwao. Wakati huo hawakumjua mmili wa eneo ni nani ila walijua ni mtu mwenye nazo hivyo wangepata kisuuza roho cha kutosha maana eneo ni kubwa sana kuashiria ni la mtu mzito kiuchumi
Mafundi wakampa bosi taarifa ya kuzuiliwa ujenzi mpaka kibali. Bosi akauliza ni chawa gani hao? Akapatiwa maelezo! Akawataka mafundi wasitishe ujenzi siku mbili ya tatu waendelee na kazi kama kawaida yeye atakuepo hataenda kazini na ikawa ivo
Wajumbe wakapashwa ya kwamba ujenzi unaendelea wakachukua bajaj pamoja na manyungu ( polisi jamii) wa kutosha. Kufika eneo la kazi wajumbe wa serikali ya mtaa wakawasha moto kwa mafundi
Ilisikika mlio wa risasi hewani wote vichwa chini ya ardhi au nikumwage ubongo na wote wakalala chini kisha wakaamriwa kama wewe unajua ni fundi simama juu na ikawa hivo. Kumbe bwana mmiliki alikua ni mtu mzito sana jwtz ( kuonesha id) akawapa onyo wale wanoko wasionekane pale tena hawajui jinsi gani watu wameipambania nchi. Baada ya amri wapotee wana sekunde chache walikimbia na bajaji yenyewe waliacha palepale