Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Vayolensi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭!Ingekua hatupo hapa kwa ajili ya mapenzi pasingekua na violence...
Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa lo😅!
Kabiiiiiiiiiisa everything would be smooooooooooth!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vayolensi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭!Ingekua hatupo hapa kwa ajili ya mapenzi pasingekua na violence...
mapenzi yanahitaji kuwa huru,kwenye uhuru kuna neno special/mimi pekee.Ingekua hatupo hapa kwa ajili ya mapenzi pasingekua na violence...
unahika gani kuwa mungu hajaumba nguvu kubwa kuliko yeye?Hata mungu wake bado hayupo huru...
Awezi kubadili mifumo.
Awezi kumuumba Mungu mkubwa kupita yeye
kuzaliwa ni ishara ya kutafuta uhuru,na huenda roho zote zinazokufa huja tena duniani ili kuendelea kukamilisha lengo kuu.
Mkuu hatupo duniani kwa kwaajili ya uhuru na hakiAbadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu.
Binafsi nimetambua dhamira ya uwepo wetu katika hii dunia ni kutafuta namna ya kupambana na mazingira ili kupata uhuru na haki,ndiyo maana kila eneo katika hii dunia inazungumzia haki pamoja na uhuru.
Lakini, hii haki na uhuru tunayoitafuta ni asili ni kwamba unakuwa na mipaka ndani yake siyo haki nyengine ambazo haziendani na nature,kuna nadharia za akina thomas hobbes na john locke ambazo zinaelezea asili ya binadamu kabla ya kuwepo state, watu walikuwa wanachinjana ili kupata haki,wanapigana ili kupata uhuru(uhuru wa kimazingira,kufikiri na hata kazi).
Ndiyo maana utaona tuna nchi,vyama,mahakama na taasisi kibao ambazo zinazojitegemea hii ni uhalisia wa nature inavyotaka ila kwa bahati mbaya zaidi mifumo huwekwa ili kuvunja baadhi ya lengo, lakini pia hakuna ubaya kwa kuwa tungelikuwa tunaishi katika uhuru basi dunia ingelikuwa ni chungu kwa kila mmoja wetu.
Wengine wanatembelea ma V8 yeye hana. Ni kipi/nini kinafanya uone hauko huru.?
Umeelewa lakini ..unahika gani kuwa mungu hajaumba nguvu kubwa kuliko yeye?
hebu chukulia mfano wa binadamu ametengeneza silaha ambayo inachukua sekunde kuondoa uhai wake...nimemuumba binadamu kwa mfan wangu