Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

Ingekua hatupo hapa kwa ajili ya mapenzi pasingekua na violence...
Vayolensi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭!

Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa lo😅!
Kabiiiiiiiiiisa everything would be smooooooooooth!
 
Hata mungu wake bado hayupo huru...
Awezi kubadili mifumo.
Awezi kumuumba Mungu mkubwa kupita yeye
unahika gani kuwa mungu hajaumba nguvu kubwa kuliko yeye?

hebu chukulia mfano wa binadamu ametengeneza silaha ambayo inachukua sekunde kuondoa uhai wake...nimemuumba binadamu kwa mfan wangu
 
Mkuu hatupo duniani kwa kwaajili ya uhuru na haki

Tupo hapa duniani ku struggle to survive...... only the strongest will concur
Na wale watakao concur ndio wataamua ipi ni haki na ipi sio haki, upi ni uhuru na upi sio uhuru
Mahakamani kuna sheria na sio haki
Mwijaku ni lazima apply usa visa akiwa Tz lakini Jay Z atapata Tz visa akishuka JK Nyerere Airport

Kitu cha kwanza na MUHIMU kwa kiumbe chochote ni MSOSI, the way unawaona kuku wanyama porini na hata mimea inavyo fight to survive kwa msosi ndivyo ilivyo kwa binadamu.
Not everyone care about hekaya za Mungu wako

Resources are scary, kila mtu anapigana kuipata kuboresha maisha yake awe na uhakika wa KULA na mambo mengine

It’s up to you kua utafanya nini ili ku access that scary resources.
Utakua Mwanasiasa
Utakua mfanyabiashara nk nk
 
unahika gani kuwa mungu hajaumba nguvu kubwa kuliko yeye?

hebu chukulia mfano wa binadamu ametengeneza silaha ambayo inachukua sekunde kuondoa uhai wake...nimemuumba binadamu kwa mfan wangu
Umeelewa lakini ..
Soma tena hiyo paragraph yangu ya chini pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…