DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,084
- Thread starter
- #61
KAMA HILI ...!Kwahiyo mashati mawili ya Le Mutuz ukiyashona unapata emergency turubai la ukubwa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA HILI ...!Kwahiyo mashati mawili ya Le Mutuz ukiyashona unapata emergency turubai la ukubwa gani
Powa sana, usipotee sana aiseeSafi boss mzima??
Haha komedi nyingine banaa haha yaani sababi umetapeliwa simu ndionwatafuta hiyo laki mbili je vp kama simu ingekuwa yenyewe?!Kwako LE MUTUZ a.k.a le akili kubwaz...
Husika na kichwa cha habari hapo juu..ni mimi mshkaji wako na shabiki wako mkubwa kwa jina naitwa dume suruali ukipenda unaweza niita 'Le dume surualiz'.
Lengo la kuandika barua hii ni ;
Kwanza kabisa kazi yangu mimi ni ya ufundi Maturubai yaani nashona maturubai yaliyochanika pamoja na kuziba matundu yaliyo kwenye maturubai..
Leo nilipewa pesa nikanunue turubai jipya kwa ajili ya sherehe za krismasi na mwaka mpya ..nilipewa kama laki2 hivi sasa ndugu yangu kufika mjini nikakutana na jamaa alikuwa anauza simu aina ya iPhone daah! Ukiangalia na mimi tangu nizaliwe sijawahi kutumia iPhone pia ilifika hatua nilimuweka mke wangu kupatana .com ili nibadilishane na simu ya iPhone sababu nilikuwa nawaona akina wema sepetu wanaishika huko instagramu basi na mimi nikaipenda..
Sasa huyu jamaa (tapeli)aliniambia nimpe ile laki mbili ili anipatie iPhone ..nikakubali haraka haraka,tena akaniambia nisiiwashe mpaka nifike nyumbani sababu nitaibiwa ..sasa ile kufika nyumbani nawasha simu haiwaki ..baadae nikasema ngoja niifungue daah! Kumbe waliniwekea udongo aisee !!
Sasa Sujui nitafanyaje na pesa ya watu nimekula Ndio maana nikaamua nikuandikie barua hii Kwani turubai linahitajika taree 26 na pesa nimeibiwa.
Kutokana na taaluma yangu ya kushona maturubai ..nilikuwa Naomba unipatie japo MASHATI YAKO MAWILI TU! ili niwatengenezee turubai la imejensi huku nikiwatafutia pesa yao laki2..
Najuwa wewe una nguo nyingi sana,hivyo utanisaidia japo nguo zako za zamani ili niepuke kwenda jela mwenzako.
_LE DUME SURUALIZ_
Hahahaah poapoa mkuuPowa sana, usipotee sana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa aliwaka moto kuambiwa hapigi pamba hahaha
Yani vyovyote Lazima ningekuja kuomba msaada mkuuHaha komedi nyingine banaa haha yaani sababi umetapeliwa simu ndionwatafuta hiyo laki mbili je vp kama simu ingekuwa yenyewe?!
Hiyo pesa ya turubai la noeli ungeipata wapi?!
Nimecheka mpaka mbavu zinaniumaHahaa
Juzi nilipata wazo mkuu..
JE WAJUA KWAMBA;
1)shati la le mutuz linaweza kutumika kutengenezea turubai? (Yakiwa mawili..)
![]()
2)T-shirt ya lemutuz inaweza ikatumika katika parking za magari kama protector kuzuia vumbi au hata kuzuia ndege kama kunguru wasiweze kulichafua gari lako pindi linapokuwa parking? Mfano gari Kama ist,Noah,Prado,BMW,Mercedes nk..
![]()
![]()
3)Shuka la le mutuz linaweza kutumika kufunika bodi la semi trela? Au likatumika Kama kapeti pale kwenye ukumbi wa diamond jubilee?
![]()
4)Je wajua hata bukta ya huyu kiumbe inaweza kutumika Kama chujio kwenye Mashine za kukobolea mpunga na mahindi?
![]()
JAMANI...!
Embu tuache utani ...Huyu mtu ni mgodi unaotembea coz kila kitu kwake ni DILI!
acha nijipendekeza kwa le mutuz mie..[emoji3]
_Dume Suruali_
[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimecheka mpaka mbavu zinaniuma
Yani vyovyote Lazima ningekuja kuomba msaada mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa
Juzi nilipata wazo mkuu..
JE WAJUA KWAMBA;
1)shati la le mutuz linaweza kutumika kutengenezea turubai? (Yakiwa mawili..)
![]()
2)T-shirt ya lemutuz inaweza ikatumika katika parking za magari kama protector kuzuia vumbi au hata kuzuia ndege kama kunguru wasiweze kulichafua gari lako pindi linapokuwa parking? Mfano gari Kama ist,Noah,Prado,BMW,Mercedes nk..
![]()
![]()
3)Shuka la le mutuz linaweza kutumika kufunika bodi la semi trela? Au likatumika Kama kapeti pale kwenye ukumbi wa diamond jubilee?
![]()
4)Je wajua hata bukta ya huyu kiumbe inaweza kutumika Kama chujio kwenye Mashine za kukobolea mpunga na mahindi?
![]()
JAMANI...!
Embu tuache utani ...Huyu mtu ni mgodi unaotembea coz kila kitu kwake ni DILI!
acha nijipendekeza kwa le mutuz mie..[emoji3]
_Dume Suruali_
Now days yupo stable aisee..Jamaa aliwaka moto kuambiwa hapigi pamba hahaha
Duuh..!
[emoji115] ....baba na watoto wakeDuuh..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]