Nimetapeliwa - meridian bet

Acha guessing za kitoto...Vodacom waibe 140....are you out of your mind
Tulia wewe, namaanisha acheki nao voda Kama mpunga uliingia meridian hawausiki Tena hapo,,,Kuna mikopo acheki wampe majibu pia
 
Kampuni kubwa / inayotegemea publicity ili iendelee haiweze kuharibu jina la Kampuni hata kwa milioni tano au kumi... (promotion tu huenda wanatumia maradufu ya hio)

Fuatilia utagungundua ni nini unless otherwise ulilipwa kimakosa
 
Hawana ofisi? Ulipiga simu mara ngapi? Mimi naona kama unatahayaruki haraka. Tuliza akili na ufuatilie bila papara.
Sure bro. Meridian kampuni kubwa sana. Sema mwamba yupo kwenye taharuki tu.
Kweli ameshindwa kwenda kwny branch yoyote ya meridian mpk kuja kuwachafua apa kwa 140K??
Mi ningekua ww ata huu uzi ningeufuta.
 
Sijataharuki usimsemee mtu , nipo iringa nisaidie pa kwenda
Ungekuwa hujatayaruki usingefungua uzi haraka haraka kuishambulia Meridian kabla ya kujiridhisha wapi pesa yako imekwama.

Hapa hatuwezi kukusaidia sababu hatujui sababu ya pesa zako kurudishwa, nenda duka la Meridian hapo Iringa utapata majibu ya tatizo lako.

Usitoe tuhuma kabla hajapata majibu ya wahusika,ni kosa kisheria.
 
Tafuta kazi ya kufanya braza, achana na kamari utakufa maskini. Unataka upige hela bila kuvuja jasho...NO SWEAT...NO SWEET!Utaliwa sana hadi ukome braza
 
Au labda hiyo 184,000/- ni ushindi kabla ya makato ya 20%. Ila kuzulumiwa sio rahisi, check vizuri mahesabu.
 
uli bet kwa odd ya ngapi?
 
Katika makampuni ya kubet, Meridian ndio kampuni bora hawana longolongo, huwa najiliwaza siku nikiamua kubet na malipo fasta tu
 
Kwanza omba mods wafute uzi wako.
Pili ukiwithdraw hela kutoka kwenye akaunti ya kubeti, ikishathibitishwa na operator na kuingia kwenye simu, hao kampuni ya kubet hawana uwezo wa kuirudisha.
Kwa hiyo kwa tatizo lako wasiliana vizuri na voda. Sana sana kama ungekuwa umewithdraw then kuna makosa yalifanyika kwenye slip yako, wangekuandikia (-) kwenye akaunti yako na kiasi unachodaiwa na sio kurudisha hela.
 
Kuna taasisi moja inasimamiwa na Abas Tarimba nenda ofisi zao utasaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…