Nimetapeliwa na saving foundation

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
252
Reaction score
43
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema
 
Ili uwe mfano,nenda Polisi ukaishtaki ili tujue kweli unawapenda watanzania.
Kuweka mtego wa hawa jamaa ni rahisi sana.
Sasa isiishie kulalamika tu.Kova amekamata Magari tleee na vioo vya magari itakuwa hawa.
Maana hizo sim wanazotumia ndio zitawakamatisha.
 
Tafadhali mkuu ungoza hatua mbili tatu mbele ukaripoti POLISI utaokoa wengi.
Good luck and blessings.
 
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema

pole sana,miminiliwapigia simu nikahojiana nao maswali muhimu sana tu.waliniambia ofisi yao iko mnazi mmoja,nikawaambia niko maeneo hayo wanielekeze nionane nao....huwezi amini,ndani ya dk sifuri simu yao ikawa haipatikani.
 
Hao jamaa wana ofisi ndugu yangu?
 
Au nenda iadara ya Habari maleezo kama unaogopa,pale wapo waandihsi wa habari telee wanasubiri issue kama hizi,wao wanaweza hata kukuunganisha na polisi ili wakusaidie namna ya kuweka mitego.
Wao watashirikiana na Makampuni ya sima,maana Minara inasoma kama mtu yupo maeneo gani.
Ungekwua huku Unguja basi ningekuelekeza kwa Babu wao wenyewe wangeshika adabu.Na ndio maana utapeli unaishia huko huko Dar
 
Nenda polisi.namba zao.za simu si unazo?
 
pole sana,miminiliwapigia simu nikahojiana nao maswali muhimu sana tu.waliniambia ofisi yao iko mnazi mmoja,nikawaambia niko maeneo hayo wanielekeze nionane nao....huwezi amini,ndani ya dk sifuri simu yao ikawa haipatikani.

kweli kabisa mkuu,namba zao zote haziko hewani isipokuwa moja tu ya voda kwa ajili ya mpesa nayo ukipiga haipokelewi labda utume sms,
 
Mkuu nenda polisi kuokoa watanzania wengine
 
Unaanzaje kwanza kutuma tu hela maana jinsi Pesa ilivyo ngumu kutafuta.
 
Ni kampuni gani tena hiyo ya fedha?

Inaitwaje?
 
SAVING FOUNDATION LOANS,Kibaya zaidi Eatv ndo walioipa promo hadi mimi nikaiamini.
Mkuu mbona tahadhari zimetolewa sana humu JF kwanini mnakuwa wagumu kuelewa, hao jamaa wana tumia akaunti za watu wengi na mashrika mengi sana, pia jua kuwa unaweza kufungua akaunti kwa jina lolote au kampuni yeyote ili kurahisisha kurubuni watu. Moja ya thread kuhusu hao ni hii tafuta zipo nyingine zaidi,https://www.jamiiforums.com/matanga...hawa-savingfoundation-sijui-nimetapeliwa.html
 
Nielekeze ofisi zao tafadhari

Oh samahani mkuu,nilisahau kuweka kiulizo so haikuwa kama nakwambia bali lengo langu ni kukuuliza wana Ofisi? Iweje utume pesa kwa watu ambao hata Ofisi yao huijui??
 
Jamani kabla hujaingia biashara ambayo unaona kidogo ni lucrative jipe muda uwaze na kuwazua mawili matatu. Watu wamekuwa na mbinu nyingi chafu za wizi kwa kuweka mtego wa kuvutia. Cha msingi, watafutie mtego ina nao nafikiri ni wajanja wanaweza watembelee huku na kupata taarifa hizi. Kesho watabadili mtindo.
 
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema

Wamekuliza sh ngapi mkuu?
 
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema

Kwa hiyo wewe mkuu uliamini wangeweza kukukopesha kwa simu tu, bila kuona hata kitambulisho chako, kirahisi tu? WATANZANIA TUNAKOSA UMAKINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…