Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema
pole sana,miminiliwapigia simu nikahojiana nao maswali muhimu sana tu.waliniambia ofisi yao iko mnazi mmoja,nikawaambia niko maeneo hayo wanielekeze nionane nao....huwezi amini,ndani ya dk sifuri simu yao ikawa haipatikani.
Mkuu mbona tahadhari zimetolewa sana humu JF kwanini mnakuwa wagumu kuelewa, hao jamaa wana tumia akaunti za watu wengi na mashrika mengi sana, pia jua kuwa unaweza kufungua akaunti kwa jina lolote au kampuni yeyote ili kurahisisha kurubuni watu. Moja ya thread kuhusu hao ni hii tafuta zipo nyingine zaidi,https://www.jamiiforums.com/matanga...hawa-savingfoundation-sijui-nimetapeliwa.htmlSAVING FOUNDATION LOANS,Kibaya zaidi Eatv ndo walioipa promo hadi mimi nikaiamini.
Nielekeze ofisi zao tafadhari