Nimetapeliwa na saving foundation

Nimetapeliwa na saving foundation

mkuu sasa ndio nini umeandika hapo aisee ..haueleweki (ndio maana wamekutapeli - JOKE).
Umetapeliwa tsh ngapi, makubaliano yenu yalikuwaje, iko wapi hyo kampuni n.k Namna ulivyoandika ni kama vile wasomaji tulikuwepo hivyo tunajua a to z lolz. Pole sana
 
Back
Top Bottom