Nimetawaza kwa kutumia maji yenye Jik

Nimetawaza kwa kutumia maji yenye Jik

Inshaallah pamepoa kwa lweli ni mbabuko nilipewa dawa ya majani nikapona
 
kiutaalam jk inapoingia sehem iliyolain lazima itareact kidogo lkn end of ths haina madhara zaid ya kukuweka msafi maradufu
 
umejidisinfect duhh hapo ata hupati cholera maisha yako yote heko
 
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.

Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.

Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.

Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea?



Kwa Ninavyoijua JIK Ilivyo Na Kemikali Kali Sidhani Hata Kama MNYERO ( Mkundu ) Wako Bado Upo au Unao Mkuu. JIK Itakuwa Imefagia Kila Kitu Huko UVUNGUNI Kwako.
 
Back
Top Bottom