Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya

 
Diamond anakubalika sana ndio maana anapata show nyingi sana za nje congole sana kwake huko ndio kuna hela nyingi.
Mimi naunga mkono hoja yako ndugu yangu innocent Dependent
 
Maendeleo hayana vyama..

Sisi huku tulitambaa na mtelezo wa graduation ya SAUT.. tulipata watu Alhamdulillah
 
Sometimes acha uhalisia uongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…