Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii

Gambia kuna msanii gani mkubwa huko
 
Hata Nice alikua akipewa mapokezi mazito tu. Cha msingi in ufanye mziki unaoeleweka sio kuwekeza kwa machawa mtandaoni na trend za youtube
 
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya

Gambia ni nchi yenye watu 2,417,000 sawa tu na raia wanaoishi viunga vya Tabata na Kimara hapa Tanzania. Sasa Tanzania tuache kazi zetu tukampokee yeye kwa lipi wakati kila siku tunagonga naye vyombo pale Element?
 
Kama ni hiyo video hapo sio Gambia hapo Sierra Leone alienda mwaka jana au juzi kama sikosei,japo huko Gambia amepokelewa hivyohivyo
 
Mama Samia toka aanze kuzurura hapa nchini Tz hajawahi kupokelewa popote na huo umati tena ukiwa na vibe kama hilo. Akienda nje ya nchi ndio kabisa, hakuna raia anayejigusa kumpokea, sana sana atapokelewa na chawa wake tu kama Mangi Kimambi.

Sasa ajifunze kitu.
 
Hamkosekani
images.jpg
 
Huko inabidi aongee kibububu maana ghambia ni nchi ya kifaransa. Hata hivyo anapendwa sana nchi za francophone inabidi atafute msanii mmoja wa huko ale kolabo la kifaransa
 
Kafanya na Fally, Koffi,Inoss'B hao wote wanaongea kifaransa.
 
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya

Hakika Mungu aendelee kumbariki zaidi na zaidi
 
CCM wamdhibiti huyu kijana, atakuja kuwaletea shida huko mbeleni.
 
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya

Kwa vikumbo vyake hapa Tanzania kawaacha ila sio kwa wale washenzi akina OBO,WizKid na Burna boy wale ni heavyweight
 
Mama Samia toka aanze kuzurura hapa nchini Tz hajawahi kupokelewa popote na huo umati tena ukiwa na vibe kama hilo. Akienda nje ya nchi ndio kabisa, hakuna raia anayejigusa kumpokea, sana sana atapokelewa na chawa wake tu kama Mangi Kimambi.

Sasa ajifunze kitu.
Kilaza wewe
 
kihoteli hakina menu, hakina ndizi, hakina kondoo....

sasa kuna li jinga moja sijui li Spanish sijui li Arabu limemuagizia kila mtu kuku kumi na viepe! Unajua nchi kama Marekani huwezi kamwe kumwagizia mtu kitu ambacho hujamuuliza... NEVER, EVER!.... huwezi ku assume tu hawa maskini wa Tanzania watashukuru wakipewa viepe na kuku kumi kila mtu...

".... ten chicken chips for everybody..."

Sasa Tandale kwa Mtogole anakotoka Mondi chipsi kuku za kumwaga barabarani
Mondi kakomaa anataka ndizi za kukaanga au nyama ya kondoo... hajala mwaka
Mademu waliokuja kuchukua order kizungu lazima watafsiriwe
Handlers wa mondi wa Kibongo kizungu cha shule bila malipo...
Mwenyeji wa mondi kasema anatoka Ivory Coach, maana kuna sehemu Mondi ikabidi amuulize we wa wapi ??? hahaaaaa .... basi ni kimbembe na mvurugano

Hivi unaweza kumchukua ngwini kama Justine Bieber au Drake au Harry Styles ukampeleka nje ya nchi yake kwenye kidangulo hakina menu ya chakula, wala wahudumu wanaoweza kuelewana na mteja wa kimataifa, wala hawana chakula anachotaka mteja kweli ?????

Halafu kuna sehemu Mondi ikabidi aulize hivi menu yenu ni ya humu ndani au mnaitoa nje ya hapa ? Si unajua vi gesti vyetu Sinza masikini ya Mungu inabidi sometimes umuombe mhudumu akakuchukulie chipsi vumbi stendi ya Mugabe?
 
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.

Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika Diamond Kuja Kuperform Katika Siku Hiyo.

Nimetazama Mapokezi Ya Diamond Nchini Gambia, hakika nimeona ni somo kwa Wasanii wa Bongo Kujifunza kutoka Kwa Diamond, Yale Mapokezi Nchini Gambia Diamond Hajawahi kuyapata hata akiwa Hapa Nchini Tanzania. Ni mapokezi Yaliyo Vunja Record katika kipindi hiki Tunacho Jaribishwa kuaminishwa kuwa Diamond Kaanza Kushuka Kimuziki, Nchi Gambia Wametuthibitishia Kuwa Diamond Bado Tunaye Sanaaa…

Wasanii wa Bongo wajifunze kufanya kazi Kwa Malengo na kuacha Janja Janja Katika Mziki, ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyingi Kujibrand.

Tazama mapokezi haya

Safi Sana afungue na wasafi fm kabisa nchi inaonekana bado sana
 
Back
Top Bottom