Nimetembea hospitali 5 sioni tatizo

Nimetembea hospitali 5 sioni tatizo

Una miaka mingapi?
Una Kg ngapi au BMI yako ni ngapi?
mara ya mwisho pressure yako ulipotembelea hospitali ilikua ngapi?
kichwa chote kinauma?Unaweza kusema ni upande upi wa kichwa?
maumivu ya kichwa unaweza kuya grade vipi? e.g ya kawaida au Makali sana?
Ukitumia Paracetamol(PCM) yanapungua?
Haujawai kupoteza fahamu au kuhanguka kifafa au kukakamaa mwili?
Je ulipowekewa thermometer ilisoma Temperature ya ngapi?
emu elezea hiyo bullet ya mwisho je ni maumivu ya kifua kwenye upande wa kushoto?
usipendelee kutumia maneno kama mishipa sijui inauma unampotosha daktari.

Elezea pia kila dalili ulizotaja hapo zina siku ngapi

my impression kwa maelezo yako ni vitu vitatu.

1. Tatizo la Moyo/Cardiovascular problem
2. Infection kwenye ubongo i.e meningitis
3. Migrane au Tension headache e.t.c

Naomba ujibu maswali yangu bila kuluka hata msitari nkupatie way forward!
Hongera sana, kaka we ni daktari kabisa. Japo mto mada ameshindwa kurudi.
 
Asali na ndimu changanya kwenye maji ya moto kwa uwiano huu maji robo lita, asali vijiko 3-5, na nusu ndimu mara 2 kwa siku... Unaweza pia kuongeza na kitunguu saumu
Wakati wa kuoga ogea maji yalichanganywa na chumvi... Fanya hivyo kwa wiki moja
Samahani kwa kutoka nje ya mada!
Naomba msaada wako!
Nina mdogo wangu wa kike ( form two)huwa kuna wakati anatokwa na damu puani!
Na hili Tatizo lilimuanza tangu akiwa mdogo

Hospital tumeenda Mara kibao ila wanasema apunguze kukaa kwenye jua

Nisaidie mkuu kama umeshawahi kutana na case ya namna hii na atumie tiba gani!
Asante
 
Asali na ndimu changanya kwenye maji ya moto kwa uwiano huu maji robo lita, asali vijiko 3-5, na nusu ndimu mara 2 kwa siku... Unaweza pia kuongeza na kitunguu saumu
Wakati wa kuoga ogea maji yalichanganywa na chumvi... Fanya hivyo kwa wiki moja
Samahani kwa kutoka nje ya mada!
Naomba msaada wako!
Nina mdogo wangu wa kike ( form two)huwa kuna wakati anatokwa na damu puani!
Na hili Tatizo lilimuanza tangu akiwa mdogo

Hospital tumeenda Mara kibao ila wanasema apunguze kukaa kwenye jua

Nisaidie mkuu kama umeshawahi kutana na case ya namna hii na atumie tiba gani!
Asante
 
Asante sana Dada yangu. Naomba unitoe tongotongo unifafanulie kuhusu blood count Dada yangu.
Mm syo Dada yako Ila nakupa mwanga kidogo FBP ( full blood picture) a.k.a CBC hichi ni kipimo kinacho mulika damu kwa ujumla mfano utaweza jua kuhusu HB ( wingi wa damu) total white blood cells kama lymphocytes, monocyte, neu,eos,baso, hizi zikiwa high au low zna maana take mfano neutrophils zikiwa high zina ashiria bacteria infection, neutrophl zikiwa high zaweza ashria parasite infection kama minyoo, pia Luna vitu vingne kama MCV,MCHC,PLT,PTC,PDW ila mwisho wa siku huwezi tumia kipmo cha FBP kama diagnosis kwan huwa ni kipimo kisicho to a jibu sahihi Bali ni mwanzo wa Dr kuanza chungza afya yako kwa undani,

Nirudi kwenye maelezo yako unawezaje kujua mishipa ya upande wa kushoto wa moyo inauma?????????????

Hospital hujaenda Bali unaenda kwenye vi mahabara ambavyo ni matapel, kama una his I ni moyo una sumbua vipo vipimo vya moyo ECG,ECHO na viko vya damu kama myoglobin,NT-pro BNP, troponin1,
 
''Mucus is the Cause of Every Disease. Eliminate the Mucus and You Eliminate Disease''
Kamalize Vipimo vyote ulivyo ambiwa na Wadau humu ndani ukiwa bado haujapona nitafute nipate kukutibia ili uweze kupona.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Nje ya mada tiba mbadala ya minyoo sugu kwa mtoto wa miaka sita. tafahali sheikh wangu
 
Back
Top Bottom