Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Nilijua ni wa ugweno
Hizo aina zote unazozisema zinapatikana Tabora, karibu kwetu Tabora napo ujifunze ndio utajua huku ndio genesis ya hao waduduHabari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Walihamia tabora kutokea dodomaHizo aina zote unazozisema zinapatikana Tabora, karibu kwetu Tabora napo ujifunze ndio utajua huku ndio genesis ya hao wadudu
Fika wilaya ya chemba Mkuu,katika vichaka na mapori yakeNiambie Sehemu gani hapo niende nikatalii kwanza nawaonaga hawa nyoka kwenye TV 2 ila tiba za sumu zao zipo ?
Hii ni komenti nilitaka nione, kaka Mpwapwa kuna Nyoka wengi. Mi nimesoma huko chuo duuh hatar... Hao wote Aliowataja nilikutana nao.Sikupingi hata kidogo.Mimi niliwahi kwenda Mpwapwa kwa ajili ya field practices za mambo ya upimaji ardhi.Tulikuwa tunafanyia maporini huko kwenye mibuyu kibao.Aisee nilikumbana na nyoka wa kila aina ya rangi.