Nampendamilele
Member
- Jun 12, 2024
- 34
- 45
- Thread starter
- #21
Maliza Hilo swala Chapchap
Hakuna laana kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maliza Hilo swala Chapchap
Sawa ,umeendeleza undugu.
Hakuna ndugu,mchumba wa bimani?binamu watu wanakula piaHakuna laana?
Wakati unamfungua miguu hukuwaza ni dhambi ya Uzinzi, sa hivi unakuja na kisingizio Cha laana. 😏😏😏Hakuna laana kweli
Hakuna ndugu,mchumba wa bimani?binamu watu wanakula pia
Wakati unamfungua miguu hukuwaza ni dhambi ya Uzinzi, sa hivi unakuja na kisingizio Cha laana. [emoji57][emoji57][emoji57]
Nimeuliza tu mkuu.. ni binti mzuri ana sifa ya kuwa mke wangu ila nimepata hofu baada ya kujua hili
Itoke wapi mzee....Hakuna laana kweli hapo
Bwana we! Endelea kumkaza. Binamu kaumaliza mwemdo.Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean nyumbani ni sehemu gani, nikamuambia akaniuliza unamfahamu baba fulani nikasema simfahamu.. akaniambia aliwahi kufika hiyo sehemu kwa ajili ya kumzika mtu wake si ndio nikahoji huyo mchumba ake yupoje akanielezea aisee ni binamu yangu kabisa damu kabisa
Sasa wakuu nawaza hapa hakuna laana kutembea na mchumba wa binamu yangu tena walikuwa na uchumba rasmi, japo mimi simfahamu binamu yangu ila ndugu zangu wanamfahamu tena mzee wangu ndio anamfahamu kabisa mpk msibani alienda
Je niedelee na uhusiano hakuna shida yoyote ama nimpige chini… kichwa kinaniuma yaani huyu dada mmh
Chapa kitumbua hiyo kijana acha woga.... siku ya mwisho Shetani atakuvisha Taji.
We piga pumb.u
Bwana we! Endelea kumkaza. Binamu kaumaliza mwemdo.
Umeisha wewe na kizazi chako. Ng'ata mboo mpaka itoe damu utoe gundu. Seriously
Watu wanakulana mabinamu wewe unaogopa mchumba wa binamu tena marehemu binamu ?
Huyo oa kabisa, hata Mungu atakubariki.
Nikakuuliza vizuri tu Unamuoa? Ukajibu ndio. Nikamwambia maliza Chapchap. Ila wewe unaleta uswahili kuanza kuulizia laana za uchumba .
Itoke wapi mzee....