dahhhh
kwa hiyo kaka yako anamke
halafu ana nyumba ndogo..
wewe na kaka mnachangia
nyumba ndogo ...dahhh
kazi kweli kweli ......
kama ni nyumba ndogo yake ni bora uendelee nayo-ila yeye abaki na mke wake-aache kutangatanga nje ya ndoaKaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
dahhhh
kwa hiyo kaka yako anamke
halafu ana nyumba ndogo..
wewe na kaka mnachangia
nyumba ndogo ...dahhh
kazi kweli kweli ......
wanafanyeje? Mshauri mtu acha umbea.watoto bana
Yaani siku hizi uzinifu ndio fashion, eh!?
Kumbe nyumba ndogo! Muulize huyo shem alimtambulisha nani? Na wewe acha tafuta wako isijekua nawe watafuta nyumba ndogo maana maji hufuata mkondo.Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
balaa tu ,mimi naona .. bcz mtu kukutana tu munapendana? si uwe muangalifu kwanza ,kuna wanawake wengine nao ,matatizo tuuuu,,na wewe pia unaonekana unapenda videmu ,,bcz huwezi kumkabidhi mtu mapenz kwa siku 1 au mbili mumekutana casino?
Kama kuongea jambo kama hili ni kawaida........yaani mtu anahadithia kiulaini kama vile anywa kikombe cha kahawa!.........................
Siku tutasikia........"nimetembea na nyumba ndogo ya baba.......nampenda.............naomba mnishaur"i....................
Yaani kuna mambo ambayo mi nafikiri ni ya aibu kiasi ambacho kuyatangaza ni aibu zaidi............kwanza kama ni mwanaume mwenye busara na unanyejiita mwanaume.............hapo unakosa uamuzi kweli???ni kweli huoni cha kuamua???
Halafu wakiitwa wanaume na wewe unaitikia????
Nanukuu toka kwa The Boss........"Watoto bana...."
Binafsi niliwahi kumfatilia binti fulani kwa nia ya kutaka kumuoa lakini nilipogundua kuwa rafiki yangu wa karibu ametembea naye siku za nyuma nikaghairi, yaani nilikuwa najiuliza pale rafiki yangu atakapokuwa anakuja kunisalimia nitajisikia vipi. TUTOR jibu ni rahisi sana ACHANA NAE Halafu kuna stock za kutosha tu, sidhani kama zimeisha kiasi cha kutaka kung'ang'ania hapo hapo na kaka yako.Nifanyeje?