Nimeona kuna kiongozi wa madereva naye polisi wamepita naye na haijulikani yuko wapi.
Hawa mashetani wameamua kutumaliza🙆♂️
Kama Westlife Kundi la wanamuziki ?Mue mnatembea kwa makundi.
UongoWakubwa,ni Mimi tuu ,Nina mda siajaenda miji miwili mitakatifu, Twitter na inster ,Kuna clip nyingi za watu wanaolalamika ndugu zao hawaonekani ?
Hii Ina maana gan kama taifa .
Kwa sasa nchi yetu Ina laana cyo bure
Siombei ila nataka niseme ,,
"TANZANIA NOW ITS NOT A COUNTRY "
But the time Is flame and I will tell .
It is not today but even also tomorrow.
Trh 29 nilishuduia Mdada alipigwa lisasi ukivuka daraja la kigamboni .
Ukiweka comment andika Cha maana la sivyo nitkutukana usile mwaka mzima
Shoot on sight (curfew)Trh 29 nilishuduia Mdada alipigwa lisasi ukivuka daraja la kigamboni .
sio inster ni instagram
Hali ni mbaya SanaWakubwa,ni Mimi tuu ,Nina mda siajaenda miji miwili mitakatifu, Twitter na inster ,Kuna clip nyingi za watu wanaolalamika ndugu zao hawaonekani ?
Hii Ina maana gan kama taifa .
Kwa sasa nchi yetu Ina laana cyo bure
Siombei ila nataka niseme ,,
"TANZANIA NOW ITS NOT A COUNTRY "
But the time Is flame and I will tell .
It is not today but even also tomorrow.
Trh 29 nilishuduia Mdada alipigwa lisasi ukivuka daraja la kigamboni .
Ukiweka comment andika Cha maana la sivyo nitkutukana usile mwaka mzima