Nimetembelea Shule ya Wazazi nikasoma ujumbe huu...BIG RESULTS NOW

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Ikumbukwe kua matokeo mabaya ya mwaka huu yamestua wengi sana.BIG RESULT NOW ni mfumo ambao umecopiwa Nchini Malesia na Ucapestiwa hapa Tanzania katika sekta za kiuchumi na kielimu kwa ujumla.Waalimu wamekalishwa semina na kauli mbiu ni DO OR DIE.Je unadhani mpango huu utarajiwe kuleta mafanikio kwa Kidato cha2 na4 mwaka huu ama ni Siasa tu na Harakati za mfa maji.
 
Huo ujumbe uliosoma ulipotembelea Shule ya Wazazi? Kazi ipo!
 
Namaanisha Private School
 
Hizo ni propaganda tu na hakuna utekelezaji ccwatanzania tumezoea kuandika majumbe mazito lakini hakunaga linalofanyika
 
Back
Top Bottom