Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Wall street

Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
65
Reaction score
330
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..

Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..

Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...

Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza

The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august

Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza

Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records

Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo

Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
 
Hakuna biashara inayolipa kama betting muhimu ni kuacha tamaa na ujiwekee kanuni muhimu za uchezaji

Kwa mfano mimi kila mkeka sitaki uzidi 1.80 odds

Na hata mechi iwe na uhakika kiasi gani simpi direct win yoyote nacheza dc

Na odds ya ushindi ni under 2.5 HT inatoa sana hiyo

Muhimu ukishaina unakula usitake kujaribu odds nyingi utapigwa

Anza na laki moja ukiweka odds 1.80 unapata 150 faida ni 50 nakuhakikishia katika mwezi utakosa mara 4 au 5 tu
 
Hii shule sasa ya ku bet, inahitaji darasa
 
Sio kiivyo mkuu
Sasa kuna ugumu gani hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…