Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Hapa sijakuelewa,
Nilidhani unaweka Bookie mmoja ambae Yenisey kapewa Odds nyingi kisha unaweka na Bookie mwengine ambae Anzhi kapewa odds nyingi, au mfano wako hauko hivyo? Nachoelewa hii kitu ni almost haipo, sababu odds zote unazoziona hawa bookies hawajitungii tu, primarily ni kama zinatokea from same source, ndio maana hata kupishana kwao ni kidogo
nimeweka hapo calculator juu ukiweka tshs mia faida ni tshs nne no matter the case.., odds kama hizi kutokea huwa ni short time kabla watu hawajaweka mambo sawa au bookie mmoja anatoa hizo odds kuvutia wateja n.k. its a short term issue but it happens for more info cheki hio article hapo chini.., still this is not guarantee unaweza ukaweka bet moja by the time umekwenda ya pili odds zimebadilika, although kuepuka hii kwanza weka bet kwenye zile odds ambazo zipo tofauti na wengine...

1) Arbitrage between Two Bookmakers in One Betting Market
This is the classic form of sports arbitrage (sure bets) in football betting.

The arbitrage opportunity relies on at least two bookmakers evaluating the same event differently, each offering different odds. Taking advantage of these price differences is the key to creating an arbitrage, or “arb”.

Red pen on a calculator beside a piggy bank - save on costs, expenses, and budget
Image: Lisa S. (Shutterstock)
For example, bookmaker ‘A’ offers a price of 2.04 on the ‘Over 2.5 Goals’ market, whilst bookmaker ‘B’ is pricing the ‘Under 2.5 Goals’ bet for the same match at 2.08.

This is an arbitrage opportunity, or “surebet”. Both prices return more than even money, and of course one of the bets will definitely be a winner.

To ensure the same profit whatever the outcome, the stake money is weighted on each outcome. With bookmaker ‘A’, 50.49 units are wagered at 2.04 odds; with bookmaker ‘B’, 49.51 units are placed at 2.08 odds.

The total stake is 100 units, and no matter which bet wins, the guaranteed return is 2.99 units (almost 3% profit on the total stake).

Sometimes, “arbs” with 5% or more return may be found in the market, although larger arbs occur more seldom in this “classic arbitrage/surebet market”.

The situation described above is the easy option. For more advanced gamblers who enjoy thinking outside the box there is another type of arbitrage opportunity available, and these arbs often achieve a higher return. This of course relies on knowing where to look… ingawa this is theoretically correct odds difference ni ndogo inabidi kuweka wager kubwa pia mabadiliko ya odds yaweza kukuacha umebet upande mmoja pesa yako ya urithi bila hedging yoyote hence kulia kilio cha kusaga meno


(2) Cross Market Arbitrage Betting
Due to the explosive growth of the Internet and the increase of betting customers, bookmakers now offer more and more betting options.

This means that the market is not limited to the historical standard sports betting markets such as gambling on the outcome of a match (home, draw, or away), or on goals; there are now many more betting choices within a single game and thus more arbitrage openings.

For some of the more popular matches there are often over 100 different bet types available in the market.

This enormous coverage opens up cross-market arbitrages opportunities but, in order to find them, creative thinking is required.


The Big Advantage of Cross Market Arbitraging
Many cross market arbitrages are not obvious; therefore, the opportunity remains viable for a much longer time. Surebets between bookmakers in only one betting market have a limited lifespan, sometimes only minutes as demand and supply in the market fluctuates.

It is said that there are about 60,000 different combinations of arbitrages using cross market methods, and this means that everyone seriously interested in arbitrage will certainly be able to identify a preferred strategy for identifying unusual arbitrage groupings…


Some Cross Market Arbitrage Examples:
  • Team 1: More than 0.5 goals
    Team 2: Clean Sheet
  • Match result: Draw
    Draw no bet: Team 1
    Asian Handicap Team 2: +/- 0
  • Total goals: 1
    Total goals: 2
    Total goals: Over 2.5
    Time of first goal: No Goals (or 0-0)
  • Match result: Draw
    Draw no bet: Team 1
    HT/FT: Team 1/Team 2
    HT/FT: Draw/Team 2
    HT/FT: Team 2/Team 2
Caution! Not everyone bookmaker has the same bets on offer, and with some, a bet is not necessarily known by the same name as it is with others. Equally, the same bets may be subject to different conditions with different bookmakers.


Cross Market Arbitraging Requires Thinking outside the Box
Cross market arbitraging does not only entail placing straight forward bets, e.g. final score: 0-0, goals by only one team, and both teams to score. There are plenty of cross market arbitrages such as: Match result = draw, Draw no bet: team 1, and Asian Handicap team 2: +/- 0.

In this case, if the match finishes drawn the stakes for bets 2 and 3 are returned, but if team 1 or 2 win the game then the stakes for the other 2 bets are lost. This certainly requires some thinking and accurate calculating before committing to place the bets for a guaranteed profit.
 
hao

hao ndo wanaume ...na had sasa yupo....sio wajinga kama wew...wana bet kwa bookmakers wa asia ambako sportrader hawafiki..
na hao nimekutajia maamuma kama wewe ili uki google uwapate....na wengi huwajui mkolomije weweee
sasa wewe watu wanaongelea betting wewe unaongelea match fixing kweli hapo kuna mjadala ?

Nakuachia kwanza hii qoute ya Baraka Obama ujitafakari......

"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.

"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
 
Sijasema bidhaa tu, nimesema bidhaa au huduma, ndio maana nikatolea mfano wa kibarua, mtu anaefanya kibarua ni anatoa huduma yake kwa malipo, wewe vipi wewe, maneno meeengi kumbe hata hujasoma nilichoandika

Wee jamaa bora ukatulia tu unatia hasira hujui kitu unachotafuta unakeraa yani kwa kifupi
 
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..

Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..

Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...

Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza

The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august

Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza

Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records

Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo

Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Unatumia app gani kaka yangu
 
Wee jamaa bora ukatulia tu unatia hasira hujui kitu unachotafuta unakeraa yani kwa kifupi
Acha kutafuta huruma, jibu hoja. Kwani si kweli kwamba nimetolea mfano wa kibarua? Na si kweli kwamba kibarua anatoa huduma? Sasa counter hiyo hoja
 
Acha kutafuta huruma, jibu hoja. Kwani si kweli kwamba nimetolea mfano wa kibarua? Na si kweli kwamba kibarua anatoa huduma? Sasa counter hiyo hoja

Kama hukumuelewq jamaa hapa [emoji1484][emoji116][emoji1484] basi mkuu

Uchumi hautengenezwi na Bidhaa tu, usikariri. Kwani Bureau De Changes wanauza bidhaa gani? Hizo stakes tunazobet zinafanya makampuni yanapata faida na kulipa kodi.

Pili makampuni hayo yanaajiri wafanyakazi kupitia hizo stakes tunazobet nazo. Wafanyakazi hao hulipwa mishahara ambayo huitumia kuendeshea maisha yao na familia zao.

Tatu, kupitia stakes zetu, makampuni haya huweza kupanga majengo kwa ajili ya ofisi, hulipa kodi ya majengo ambayo wenye nyumba hutumia mapato hayo kwa shughuli zingine za ki uchumi.

Nne mikeka ikiwin, nakatwa kodi sawa sawa labda na mfanyakazi anaekatwa PAYE.

Multiplier Effect ya kubet ni kubwa kuliko unavyodhani.
 
Kama hukumuelewq jamaa hapa [emoji1484][emoji116][emoji1484] basi mkuu

Uchumi hautengenezwi na Bidhaa tu, usikariri. Kwani Bureau De Changes wanauza bidhaa gani? Hizo stakes tunazobet zinafanya makampuni yanapata faida na kulipa kodi.

Pili makampuni hayo yanaajiri wafanyakazi kupitia hizo stakes tunazobet nazo. Wafanyakazi hao hulipwa mishahara ambayo huitumia kuendeshea maisha yao na familia zao.

Tatu, kupitia stakes zetu, makampuni haya huweza kupanga majengo kwa ajili ya ofisi, hulipa kodi ya majengo ambayo wenye nyumba hutumia mapato hayo kwa shughuli zingine za ki uchumi.

Nne mikeka ikiwin, nakatwa kodi sawa sawa labda na mfanyakazi anaekatwa PAYE.

Multiplier Effect ya kubet ni kubwa kuliko unavyodhani.
Naona unadandia treni kwa mbele. Soma post yangu namba 192.
 
View attachment 1083887View attachment 1083887

Mkuu mbona kila kitu nimekupa hizo odds
1.65; win kampuni coobet
4.4 draw leon na
7.80 loose leon

percentage hapo inazidi 100 % ukibet kuna profit ni kama ifuatavyo kama una tshs 100
63 kwenye win
23 draw
13
umeelewa
Nimekuelewa hapa,
Kwa hiyo ukiweka total 1,000,000/= stake unapata faida 40,000/= approximately
 
Back
Top Bottom