Yes no matter the results...Nimekuelewa hapa,
Kwa hiyo ukiweka total 1,000,000/= stake unapata faida 40,000/= approximately
So mwenye low odd akishinda unapoteza nusu mtajiYani uweke hela Kwenye option zote tatu..Draw na timu ishinde... So mechi moja inakuwa na mikeka mitatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No surebets ni kwamba yoyote akishinda au draw unashinda rudi kwenye maelezo...So mwenye low odd akishinda unapoteza nusu mtaji
No surebets ni kwamba yoyote akishinda au draw unashinda rudi kwenye maelezo...
Bookie theoretically odds zote hazileti 100% kwahio hata watu wakiweka Draw wengine Win n.k. kama vitabu vitabalance bookie atachukua pesa za walioliwa na kuwapa walioshinda na mwisho wa siku anabaki na faida ile percentage inayopungua kwenye 100%
Sasa hio surebets inategemea sana tofauti ya odds katika kampuni tofauti yaani ukichukua odds za kampuni A; Kwenye outcome moja; kampuni B outcome nyingine na kampuni C outcome nyingine kama hizo odds ni zaidi ya 100% inamaanisha kuna loophole ya wewe kubet matokeo yote na kuwa na uhakika wa kushinda kiasi fulani hata kabla mpira haujaanza
Me bado sijakuelewa mkuu. Na natamani nikuelewe. Embu nieleweshe, ingekuwa labda mfano kampuni A iko hivi ( 1=3.20 x=3.50 2= 2.10)
Then kampuni B ( 1= 2.35 x=3.35 2=3.10)
Halafu hivo hivo vice versa kwenye kampuni nyingine hapo ndio ningekuelewa. Yaani nabet match hiyo hiyo tofauti tofauti kwenye kampuni tofauti single. Yaani kwa matokeo yeyote me sipotezi lazima faida iwepo hata kama ni kidogo.
Lakini sasa hilo swala ni gumu mno maana odd wanahakikisha haitofautiani sana.
uyo jamaa ni loser hata usi hangaike kubishana nae maana ina onesha yeye kesha poteza saaana kwenye hii industry ana jaribu kuku discourage kwa vi theory uchwara vyakeEmotionally and time wastage? Sasa mkuu Nina M15 hapa we unaniambia nimepoteza muda? Haha
View attachment 1084227
huo ni mfano mwingine hapo juu mechi ya tarehe 3, mfano hii site huwa wanatoa surebets kumi free kila wiki; ila ndio hivyo percentange ni ndogo na odds zinabadilika sana, hii inatokena sometimes ili kubalance vitabu bookmaker mmoja anajaribu kubalisha odds ili kuvutia watu wa bet upande mwingine kama nilivyosema vitabu vikibalance anakuwa amejikinga na kutoa pesa nyingi kuwalipa walioshinda badala ya kutoa za walioshindwa kulipa washindi na yeye kubaki na margin yake
https://www.oddsportal.com/sure-bet...wcm92aWRlciI6NDU1fV19fV19fQ==/from/sure-bets/Daah sijui kichwa yangu ngumu sasa huyo mwenye odd kiduchu akishinda inakuwaje?
https://www.oddsportal.com/sure-bet...wcm92aWRlciI6NDU1fV19fV19fQ==/from/sure-bets/
cheki hio link hapo juu
yaani hapo ni kampuni mbili tofauti ya draw na ya kushindwa na nyingine home win ni kampuni tofauti
moja ni coolbet ina odds za 1 ni 1.65
leon ina odds za x ni 4.25
leon pia in odds za 2 ni 7.85
kwahio ukiweka tshs 62/ kwa Home; 24/= kwa Draw na 13 kwa Away
pesa itarudi 103/= ikuwa home win; 103 ikiwa draw na 103 ikiwa away win
unashinda tshs 3 no matter the outcome na pesa uliyoweka ni tshs 100/= ukiweka 1m ndio hivyo elfu 30
wala hauhitaji kupiga hesabu mwenyewe hii inaitwa hedging na kuna hedging calculators online.., na hawa odds portal wana calculator yao unaweka inakwambia utapata ngapi cheki hio link na kuna link nimetoa juu hapo ambapo unaweza usitumie home, draw na away unatumia different outcomes ;Now naanza kukupata. Niwe na 100 (mfano)
Then nibet kwa low odd. Nastake high. Then kwa odd kubwa naweka low stake. Lakini nipige hesabu na nihakikishe vyovyote vile faida iwepo.
https://www.oddsportal.com/sure-bet...wcm92aWRlciI6NDU1fV19fV19fQ==/from/sure-bets/
cheki hio link hapo juu
yaani hapo ni kampuni mbili tofauti ya draw na ya kushindwa na nyingine home win ni kampuni tofauti
moja ni coolbet ina odds za 1 ni 1.65
leon ina odds za x ni 4.25
leon pia in odds za 2 ni 7.85
kwahio ukiweka tshs 62/ kwa Home; 24/= kwa Draw na 13 kwa Away
pesa itarudi 103/= ikuwa home win; 103 ikiwa draw na 103 ikiwa away win
unashinda tshs 3 no matter the outcome na pesa uliyoweka ni tshs 100/= ukiweka 1m ndio hivyo elfu 30
hapana haupotezi mkuu; na wala odds hizo sio kampuni moja, kila kampuni inahakikisha ukiweka outcomes zote utapoteza ila kwa kutumia kampuni tofauti kuna wakati odds hazimatch na outcome inakuwa zaidi ya ya 100 percentNimeifanyia hapa utafiti mdogo tu. Shida sasa kupata hicho kitu.
Mfano mwenye nafasi akipewa 1.61,1.60,1.65. Droo inakaa poa odd zinafika 4. Shida yule asiyepewa nafasi odd hazifiki tano. Ina maana kimgawanyo wa stake 100. Bado nabakiwa na loss. Labda utumie kampuni tofauti.
Ila hesabu yako inafanya kazi nimegundua ingawa faida kidogo but inaweza kuwa ya uhakika. Japo wengi wamekubyeza.
wakati mwingine mkuu tunanyamaza tu. Ili kujifunza vitu vipya si kwamba labda watu hatujui option nyingine. Mfano mimi kila option uijuayo wewe me naijua.aiseee ivi kuna watu wana jua betting ni
win draw win yaani matokeo matatu3??
mambo yako tofaut nowdays wazee options ziko kibao za kupiga pesa
corners
shots on targets
ball hits crossbar
added time Ht/Ft
total goals
goals Ht/ft over/under
10 min draw
etc etc etc....
nashangaa mtu unapo leta mfano mmoja wa mlinganisho wa odds according to bookers tena kwa option ya 3 ways
naweza kusema nimeelewa vizuri sana. Na hii unaweza pia kutumia kwa option tofauti pia.hapana haupotezi mkuu; na wala odds hizo sio kampuni moja, kila kampuni inahakikisha ukiweka outcomes zote utapoteza ila kwa kutumia kampuni tofauti kuna wakati odds hazimatch na outcome inakuwa zaidi ya ya 100 percent
na ndio maana unahitaji hio calculator ili ujue uweke ngapi wapi ili chochote kikitoa unapata faida ile ile kumbuka jumla umweka mia pengine 23 pengine 60 n.k. matokea yoyote yale unashinda 103 na zile nyingine unapoteza hence faida tshs 3
deposit fee sio tatizo sana; commission na kama upo kwenye nchi kama Africa kodi ni 20% on winnings jambo ambalo UK na nchi nyingine hakuna kodi on winnings, pia kutumia kwenye option tofauti ni bora sababu unaweza kwenda kampuni A by the time unarudi Kampuni B odds zimeshabadilikanaweza kusema nimeelewa vizuri sana. Na hii unaweza pia kutumia kwa option tofauti pia.
Huu hasa ndio ufa nilikuwa nautafuta siku zote.
Shida tu hapa labda kwa kutumia mbinu hii watu watakwama kwenye deposit fee.